Tukio limefanya nitafute mwenza

Kusimulia/kwenda moja kwa moja kwenye hoja na kwa ufupi huwa hamuwezi?Anyway,uoe acha kutafuta sympathy/empathy!
 
Kusimulia/kwenda moja kwa moja kwenye hoja na kwa ufupi huwa hamuwezi?Anyway,uoe acha kutafuta sympathy/empathy!
Haya mambo yapo ndugu. Nina mifano ya watu 3 waliotokewa na hayo mambo.
Kuna mmoja alikuwa yupo na duka lake safi anauza na mkewe. Alipoenda kufuata mizigo ya biashara yake. Huku mwanamke akasafisha kila kitu. Mara ya mwisho kuonana naye alikuwa saidia fundi. Sijajua kwasasa
 
Unatafuta mwingine wa kukupiga. Tulia fanya mambo yako utampata bila kutumia nguvu.
 
tembelea ngara mkuu acha na hawa maslay queen.
 
Wewe Jamaa nakutukana mara tatu "fala fala fala" wewe
Ipo hivi mwanamke Ukimwambia uliwahi tendo fulani na mtu aliyekuacha kuna possibility nayeye akakufanyia hvo hvo tena zaidi

Ustafute kuonewa huruma kwenye mapenz
 
Haya mambo tunaƧhukuaga ushauri kwa wanaume na kamwe ke hatakiwi kujua.SIRI YA KIUME TU HIYO na ukimpata anayeijua hii Siri yako umekwisha! Ni kama umetengeneza uchochoro wakapitishe uchafu wao.
 

Pona kwanza acha haraka usije kumtesa huyo utakaempata

Usingo sio kilema endelea kujipa muda
 
nikasema nimpigie wife aniazime kias flani then nikiuza nzigo nimrudishie.
Tatizo lilianzia hapo kwenye kuazima pesa toka kwa mkeo. Ukiwa mume, pesa ya mke ni yako,. Ulipaswa kuwa unammiliki mkee na pesa zake.
mdada ambae yuko tayari kuanzisha mahusiano yenye lengo la kuoana,
Na unataka kufanya kosa linguine hapa. Unatafuta mdada wa kuoana naye?? Wafrika hawaoani, mwanaume anaoa na mwanamke anaolewa.

Unajua maana yake? Maana yake ni kwamba mke akiolewa na mwanaume daima atakuwa chini ya mumewe na atapaswa kutii amri na maagizo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…