bepari la kichaga JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 528 Reaction score 516 May 20, 2017 #61 Charaxes said: Una ujumbe mzuri ila mwandiko mkuu...tatizo mwandiko...edit may be utaeleweka, tunapata shida kusoma mkuu Click to expand... Mwandiko au ni lugha ndo mbovuu???
Charaxes said: Una ujumbe mzuri ila mwandiko mkuu...tatizo mwandiko...edit may be utaeleweka, tunapata shida kusoma mkuu Click to expand... Mwandiko au ni lugha ndo mbovuu???
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,885 Reaction score 42,002 May 20, 2017 #62 Bujibuji said: CCM yatutesa jamani demu kaniacha kisa choo cha jirani yangu kina Bendera ya chama mlangoni Click to expand...
Bujibuji said: CCM yatutesa jamani demu kaniacha kisa choo cha jirani yangu kina Bendera ya chama mlangoni Click to expand...
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 May 20, 2017 #63 Ototo said: Acha ujinga, kwani amekwambia yeye ni wa kanda ya ziwa??? Click to expand... sawa bro
- kANA - JF-Expert Member Joined Apr 17, 2017 Posts 4,088 Reaction score 10,552 May 20, 2017 #64 MUDUKU said: Hatakuha halikuha na stress Click to expand...
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,174 May 20, 2017 #65 kuna mengi ya kujifunza katika hili bandiko lako lakini ni kweli umefika ngazi ya elimu ya juu?
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,028 Reaction score 52,505 May 20, 2017 #66 Bujibuji said: CCM yatutesa jamani demu kaniacha kisa choo cha jirani yangu kina Bendera ya chama mlangoni Click to expand... ahahaaa
Bujibuji said: CCM yatutesa jamani demu kaniacha kisa choo cha jirani yangu kina Bendera ya chama mlangoni Click to expand... ahahaaa
S sohwa JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 1,039 Reaction score 772 May 20, 2017 #67 Pole sana,,huu uandishi sasa.''.!unatia uvivu sana,na kuudhi pia
GreenCity JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 5,872 Reaction score 4,604 May 20, 2017 #68 Umesoma UDSM ile ile inayosifiwa na Baba BASHITE kiasi cha kuona vyuo vingine ni takataka!?
Mwiyuzi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 854 Reaction score 448 May 21, 2017 #69 Iceman 3D said: sawa bro Click to expand... Umejibu kiungwana mdogo wangu...I lyk yu
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 May 21, 2017 #70 Mwiyuzi said: Umejibu kiungwana mdogo wangu...I lyk yu Click to expand... ahsante sana ndugu yangu, hata siku ukiona kuna sehem nimejib vibaya nichane tu kaka, ndiyo maisha haya.
Mwiyuzi said: Umejibu kiungwana mdogo wangu...I lyk yu Click to expand... ahsante sana ndugu yangu, hata siku ukiona kuna sehem nimejib vibaya nichane tu kaka, ndiyo maisha haya.
cesilia JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,233 Reaction score 1,250 May 21, 2017 #71 Domhome said: Kiumbe rahisi kabisa kutumiwa na shetani ni Mwanamke.....sio wao ni Ibilisi.. Click to expand... Maombi yanaitajika saana hadi kufikia kufa na kuzikana
Domhome said: Kiumbe rahisi kabisa kutumiwa na shetani ni Mwanamke.....sio wao ni Ibilisi.. Click to expand... Maombi yanaitajika saana hadi kufikia kufa na kuzikana
Kelvin X JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,940 Reaction score 2,402 May 21, 2017 #72 Huu ndio muandiko wa telecom?
MOI JOHN JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 1,735 Reaction score 1,084 May 21, 2017 #73 Halichachi said: Ukisomea hayo matelecommunication ndio unaandika kama kapita bata! Click to expand... Anajua macalculation kwa sana, miandiko mpe mwalimu.
Halichachi said: Ukisomea hayo matelecommunication ndio unaandika kama kapita bata! Click to expand... Anajua macalculation kwa sana, miandiko mpe mwalimu.
Hubeb Senior Member Joined Mar 21, 2017 Posts 165 Reaction score 238 May 21, 2017 #74 rebooting said: Kwani hamjui mambo lafudhi kwa baadhi ya watu wa maebeo flan hapa tz??? Take easy Click to expand... na wewe umeandika nini sasa? maebeo ndo nn mkuu?
rebooting said: Kwani hamjui mambo lafudhi kwa baadhi ya watu wa maebeo flan hapa tz??? Take easy Click to expand... na wewe umeandika nini sasa? maebeo ndo nn mkuu?
Hubeb Senior Member Joined Mar 21, 2017 Posts 165 Reaction score 238 May 21, 2017 #75 nsereko m said: kuna mengi ya kujifunza katika hili bandiko lako lakini ni kweli umefika ngazi ya elimu ya juu? Click to expand... hajafika huyu
nsereko m said: kuna mengi ya kujifunza katika hili bandiko lako lakini ni kweli umefika ngazi ya elimu ya juu? Click to expand... hajafika huyu
J jeff09 Senior Member Joined Nov 12, 2013 Posts 178 Reaction score 83 May 21, 2017 #76 Una digrii gani iyo kama h,a na I unazichanganya matumiz yake???!!
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,350 May 21, 2017 #77 Nimejitahidi nimesoma yote ila kwa mbinde sio kwa mwandiko huo aisee au ndo Telecomunication mnaandika hivyo mkuu. Ukiambiwa unaandika vibaya jirekebisha usiwe mbishi hapo juu nimeona unawaambia wadau ni wagumu kuelewa. Mwandiko bashite si bashite bata si bata dah mpaka umeondoa mzuka wa story ingawa ni bonge la dude.
Nimejitahidi nimesoma yote ila kwa mbinde sio kwa mwandiko huo aisee au ndo Telecomunication mnaandika hivyo mkuu. Ukiambiwa unaandika vibaya jirekebisha usiwe mbishi hapo juu nimeona unawaambia wadau ni wagumu kuelewa. Mwandiko bashite si bashite bata si bata dah mpaka umeondoa mzuka wa story ingawa ni bonge la dude.
Bibooo JF-Expert Member Joined May 2, 2017 Posts 401 Reaction score 290 May 21, 2017 #78 Hata uwe na Phd kama mwandiko wako ni mbovu kiasi hiki sawa na bure, halafu unaporekebishwa kubali bwana! acha ubishi....mwandiko kama upo vidudu
Hata uwe na Phd kama mwandiko wako ni mbovu kiasi hiki sawa na bure, halafu unaporekebishwa kubali bwana! acha ubishi....mwandiko kama upo vidudu
N nikubhilikile uje JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 264 Reaction score 243 May 21, 2017 Thread starter #79 Najuwa mnabeza mwandiko na kupelekea kuhoji elimu yangu nimesoma na ninafanya kazi ya kitu nilichokisomea pia mambo niliyoyasomea hayahusiani na mwandiko ndio maana nilijigundua kuwa cko vzr ktk kujieleza lakn cha mcng ujumbe mmeuwelewa
Najuwa mnabeza mwandiko na kupelekea kuhoji elimu yangu nimesoma na ninafanya kazi ya kitu nilichokisomea pia mambo niliyoyasomea hayahusiani na mwandiko ndio maana nilijigundua kuwa cko vzr ktk kujieleza lakn cha mcng ujumbe mmeuwelewa
kajunjumele JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 2,490 Reaction score 1,362 May 21, 2017 #80 -KANA- said: Before you love anyone, love your self first! Yan unampenda mtu alaf kila siku unalia, are you dating a human or an onion? By the way, huu uandish ulikusudia au ndo stress? Click to expand... ..kwenye A anaweka H
-KANA- said: Before you love anyone, love your self first! Yan unampenda mtu alaf kila siku unalia, are you dating a human or an onion? By the way, huu uandish ulikusudia au ndo stress? Click to expand... ..kwenye A anaweka H