Tukio lililo mtoa machozi

Wenye vyeti feki mliopo private sector inaonekana tu!
Uandishi gani huu kwa muhitimu wa chuo kikuu?
 
Reactions: OTG
Unaweza bisha ila mm Bora Mke anisaliti kuliko kumtesa mama yangu kias hicho. Siwez nikaendelea kua nae mana naamin ni kaz sana kubadilisha Roho.
 
Story kama hizi huwa zinanifanya niskip plan nyingi sana kuhusu hawa watu
 
Halichachi daaaaahhh....!! ww mgumu sana kuelewa pole lakn hatuko sawa kiuwandishi ndio maana nimekwambia Mwalimu wangu wa mwandiko alihama nikiwa darasa la kwanza, yaap chuo nimefika miaka 4 kamili
Title ya stori yako imenifanya niisome yote, unajua kulinganisha title na habari kwa ufasaha. Kwa hili nakupa big up.
 
Halichachi daaaaahhh....!! ww mgumu sana kuelewa pole lakn hatuko sawa kiuwandishi ndio maana nimekwambia Mwalimu wangu wa mwandiko alihama nikiwa darasa la kwanza, yaap chuo nimefika miaka 4 kamili
Dah iko shida mahali aisee....hebu jifunze namna nzuri ya kuandika! Angalia thread ya wengine na ya kwako, kisha edit na kuweka vituo, mkato na aya.
 
Bila kufikicha macho, wewe si msomi kama ulivyojipambanua. Ni vyema utubu kwa uongo huo, kuhusu story yako nimeipenda
na imetoa funzo.
 
Huwa nasktika sana haswa vjana wanaposema mama yangu ni MUNGU wa pili sjui nini maana yake,ni kweli ni wazazi watu lkn hawa ni rafiki wakubwa sana wa shetani na ndo maana kwa mahusiano Kati ya mwanamke na shetani wamekuwa ndo mwanzo wa zambi lkn mahusiano yao ndo yameleta mwanzo wa kifo,hakika mtakufa chanzo ni huyo mwanamke ,mtafute yule mwanamke aliyeitwa yezeberi ktk biblia ili uwajue hawa watu lkn mtafute pia delira ili pia umjue huyu mwamke lkn huyu mwamke aliambiwa pia atazaa kwa uchungu lkn Leo anaweza mtelekeza myoto alozaa mwenyewe haijalishi ana umri gani hata wa siku moja hawa ni ni watu wa kuogopa sana ni heli kuishi maisha kama ya mt paul lkn kifupi sina imani sana na hawa watu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…