Tukio lililo mtoa machozi

Sawa umesoma ndugu yangu lakini kiswahili ulipiga mswaki...ukipata mwanamke anaejielewa raha sana na ukilata kituko sasa ndo utakoma kuoa...kote kote wapo hawa viumbe kwahy ni bahati tu ila ukiwa na msimamo toka mwanzo wa kutongoza kwako na ukaishi katika misimamo yako inasaidia sana ...shida wanaume tumekuwa tunalea ujinga kwa mwavuli wa mapenzi...
 
Kiswahili nilipiga B vzr kabisa au mnataka mnihakiki vyeti mm c msukuma Wa mtu wa mbeya wala kagera mnitake radhi
 
Reactions: SDG
Msijaji mwandiko mtu mwingine anaandika akiwa na hisia kali. Hivyo kuzingatia alama za uandishi inakuwa mtihani, tuvumiliane.
 
Umeenda shule kwa shida kweli ndo maana hata kuandika kiswahili fasaha huwezi.Mpe pole best.
 
Jf ukiwa serious sana utakufa mapema. Be flexible and enjoy Jf life
Usimlaumu soma amejoin lini. Atazoea tu hapa hatoki mtu hii ndo raha ya JF. Vipi pombe uliagiza muleba au?
 
Ni uzezeta tu kumnyanyasa binadamu mwenzio nawachukia wajinga wa hvyo ndo wanafanya wenzao tuonekana tuna tabia moja hadi wanaume waogope kuoa
 

Ujazingatia uandishi mzuri taabu kweli kusoma weka paragram fupifupi basi na vituo itakuwa vema
 
hivi unaandika kiswahili cha nchi gani mkubwa daaah hata std four hawaandiki hivi
 
Eeeeh Mungu niepushe na majaribu kama haya kiumbe nisiye na subra mm..watamkuta wife kilo moja moja
 
Ni uzezeta tu kumnyanyasa binadamu mwenzio nawachukia wajinga wa hvyo ndo wanafanya wenzao tuonekana tuna tabia moja hadi wanaume waogope kuoa
Ukitafakari kwa kina utagundua kumtendea binadamu mwenzako mabaya ni shughuli nzito kuliko kufanya wema.
 
Before you love anyone, love your self first!

Yan unampenda mtu alaf kila siku unalia, are you dating a human or an onion?

By the way, huu uandish ulikusudia au ndo stress?
Hivi ni kweli Telecom engineers hamjui kuandika? .......
 
Pole yake kwakweli ni kisa cha kusisimua sana
Sina uhakika na huyo mkewe kama alikuwa mcha Mungu
Pole sana
 
Reactions: SDG

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…