Sowo
Senior Member
- Jun 22, 2014
- 141
- 59
Kuna watu wapatao wanne ambao inasemekana ni askari wa jwtz wanawapiga vijana 2 ambao inasemekana ni vibaka ambao walimwibia askari.
Vijana hawa wanapigwa na kufanyishwa mazoezi ya kuruka kichura, huku wakimwagiwa maji kiasi uhai wao upo hatarini.
Zoezi hilo linaendelea muda huu maeneo ya Machimbo Mwisho wa Lami (Jet).