Tukio la Lissu na propaganda za upinzani

Hakuna kitu kama hicho duniani eti kucheleweshwa kwa kesi wakati yupo behind the bars kule segerea. Acheni ubaradhuli wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja wapo ni kuhakikisha Mbowe anakosea ili afungwe gerezani. Huo mpango wake kausuka vizuri mno. Sasa hivi akitoka ataanza amandra amandra then serikali ikisema upelelezi yeye atasema amandra. Yaani lisu ilikuwa afe maana uenyekiti ni wa kaskazini tu na pia lowas bado anadai chenji kwa mbowe wewe unafikiri mbow sasa ana hela??? Madawa ya kulevya siku hizi kabanwa hauzi
 
Hahahahhahahahhahahahahhaa kana kwamba mnajua kila kitu halafu mnajilalia tu... Sasa hivi mmeshikwa vibaya kweli kweli. Mtaanza kutajana tu na wameanza na masilingi stay tuned to who is the next.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefatilia sana aina ya siasa za upinzani ktk kipindi hiki cha awamu ya tano kwa kweli usipokaa chini na kutafakari unaweza amini kama kweli hawa watu wanaonewa. Nasema hivi kwa sbb msingi wa uwajibikaji na kufuata sheria za Nchi unafuatwa nukta hadi nukta. Aina ya siasa za mazoea zinazofanywa na hawa jamaa ndizo hizo zinazowasumbua kiasi cha kuona kwamba hawatendewi haki wanaminywa kila kona lakn hapana.

Sakata la Lissu ni moja ya matukio ambayo yaliikumba Nchi ktk nyakati tofauti na maeneo tofauti. Nikisema hivyo unajua nn namaanisha. Tulishuhudia mauaji ya raia na askari kule kibiti wilayani mkuranga mkoani Pwani, Tulishuhudia yule mzungu aliyeuawa masaki aliyekuwa akishughurika na ujangili wa tembo wetu, Tulishuhudia shambulio la mwanajeshi mstaafu akiwa ktk gari yake getini, nk. Lkn mpaka leo hakuna aliyehoji nn mwendelezo wa haya matukio wote hoja imehamia kwa Lissu. Sifurahishwi na tukio hili bali nahuzunishwa kulibeba hili tukio kama ajenda ya kisiasa na kuanza kuwapaka matope viongozi wa Nchi kana kwamba Nchi hii kila raia kapewa askari wa kumlinda. Muhalifu ana mbinu nyingi sana za kupoteza ushahidi hasa pale anapotaka kufanya uhalifu cha kwanza ni kusoma mazingira na kutafuta mbinu zitakazomfanya afanye tukio lake kirahisi na asijulikane na hasa maeneo ambayo anajua kuwa kumeimarishwa ulinzi. Hivyo bado nitabaki kupinga vikali shutuma dhidi ya Serikali juu ya shambulio hili na kinachotakiwa ni kutoa ushirikiano pale ambapo vyombo vya kiupelelezi vinafanya kazi yake jambo ambalo halipo na hawalitaki hata kulisikia.

Hoja ya pili ninayoona inazungumziwa hapa ni kwa nn Lissu hajatibiwa na Serikali kama wabunge wengine?
Kila kitu kina sheria zake na taratibu zake ambazo hujiwekea. Na kama unaenda kinyume na utaratibu huo hakuna wa kumlaumu. Hakuna asiyejua kuwa ili mbunge akatibiwe nje ya Nchi kunahitajika kibali maalumu kutoka juu ikiwa mamlaka ya kitabibu imethibitisha kuwa mgonjwa ana ulazima wa kwenda kumtibiaa Nje ya Nchi. Na sehemu yenye mamlaka hayo ni Hospital ya Taifa Muhimbili. Tujiulize je Lissu alipewa kibali kutoka wapi kwenda nje ya Nchi kutibiwa? Hospital ya Dodoma ilikuwa na mamlaka ya kumsafirisha Lissu kwenda Kenya? Huduma aliyoipata Lissu Kenya hospital yetu Muhimbili wasingeiweza? Unapojiamulia jambo kwa utashi wako ina maana si unajiweza! Sasa hapo lawama zinatoka wapi? Rufaa ya kwenda Ubeligiji ilitoka wapi? Kuna utaratibu wwt uliotumika hata alipopata nafuu kiasi alipokuwa Kenya? Hoja yao ni kwa sbb ya usalama wake kwa sbb walishahukumu kuwa akiletwa Muhimbili watesi wake ambao ni viongozi wa Nchi hii itakuwa rahisi kutimiza azma yao. Leo hii lawama kibao serikali imesusa kumtibia lkn mliangalia wapi mlipojikwaa?

Hoja ya 3 ni kwamba hakuna kauli yyt kutoka kwa Mh. Rais kulaani juu ya tukio hili.
Nasema si kweli. Baada ya taarifa kusambaa tuliona Mh. Rais akitweet kwenye ukurasa wake wa tweeter kulaani tukio hili na kuviomba vyombo vinavyohusika kuchukua hatua na kuwakamata waliohusika na tukio hili. Lkn ajabu kwa hili wanakwambia sio official haya ni maajabu sana ikiwa mambo mengi mnamfataga hukohuko tweeter kujua leo Rais kasema nn. Huku mitandao hii hii ya kijamii ndipo tunapopata updates za kila siku mapema na ndio njia rahisi kwa sasa watu kujua kila jambo. Lkn kwa hili imeonekana halina nguvu. Sijui walitaka Rais asimame kwenye tv na kutangaza siku 3 za maombezi hata sielewi.

Hoja ya 4 eti Wabunge walikatazwa kwenda kumuona akiwa Nairobi hospital hivi wabunge na Makamu wa Rais nani mwenye ushawishi mkubwa au nafasi ya juu zaidi serikalini? Tena Mama Samia Suluhu alipokwenda na salamu za Mh. Rais alizipokea lkn baada ya kutoka kamkana tena kwa kuita na waandishi wa habari akiwa hsptl.

Sasa hivi kuna jipya mitandaoni baada ya kauli ya spika wa Bunge Mh. Job Ndugai kutamka kusimamishia mshahara wake na stahiki nyingine kwa hoja kwamba ni mtoro. Wengi wameponda hili na kubeza huku wakionyesha kutokukubaliana na kauli hii lkn bila ya kutafakari kwa kina nini msingi wa kauli hii.
Hakuna mwenye chuki na mtu eti kisa mpinzani hali ya kuwa Nchi hii ni yetu sote. Lkn tujiulize Tundu Lissu ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ina maana kwamba ni Muajiriwa wa Bunge. Bunge linajua kuwa Mbunge wake ana ruhusa ya ugonjwa kutokana na matatizo yaliyompata. Lkn Bunge hilohilo bado linamlipa mshahara na stahiki nyingine kama Mbunge kwa kuwa ni haki yake. Zaidi ya ruhusa ya ugonjwa hakuna taarifa nyingine ambazo muajiri anazijua juu ya muajiriwa wake. Lkn inapotokea sasa huyu muajiriwa akiwa anafanya shughuli nyingine tofauti na kile kilichompeleka mojakwamoja anahesabiwa huyu mtu mtoro. Nani aliyemtuma kuzunguka Nchi nyingine kufanya mahojiano, vikao, na mikutano? Kwa ruhusa ipi kutoka kwa mwajiri wake? Hivi hiyo ni moja ya tiba ambayo daktari alimwandikia kwamba ili upone kabisa inabidi uzunguke Nchi za Magharibi ukaishutumu Nchi yako na serikali? Tuacheni ushabiki kwenye mambo serious kama haya.
Narudia kusema tena kuwa sheria inapopata wa kuifatilia nukta hadi nukta lazima mayowe utayasikia tu. Kwa hiyo hizi hoja za wapinzani zinazotrend kila kukicha ni kwa sbb ya kuishi kimazoea.
Shibe ya matangopori sasa si shibe tena bali ni kuvimbiwa!
 
Hahahahhahahahhahahahahhaa kana kwamba mnajua kila kitu halafu mnajilalia tu... Sasa hivi mmeshikwa vibaya kweli kweli. Mtaanza kutajana tu na wameanza na masilingi stay tuned to who is the next.

Sent using Jamii Forums mobile app
Masilingi mbona alimbana kinoma huyu mharifu Lisu, yaani hakufurukuta kabisa. Sema nyie mnashabikia M23 kazi yao, sema hawakuifanya vizuri
 
Nakuambia kama hamna wasiwasi na chochote endeleni kuchapa kazi... Mmefunga jalada la uchunguzi maanake kazi imeisha na ile ripoti ya uchunguzi wake mbona haikusomwa bungeni? This time around hamchomoki bibie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuambia kama hamna wasiwasi na chochote endeleni kuchapa kazi... Mmefunga jalada la uchunguzi maanake kazi imeisha na ile ripoti ya uchunguzi wake mbona haikusomwa bungeni? This time around hamchomoki bibie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jarada halijafungwa ewe mbeba box. Kinachosubiriwa na dereva wa lisu, lisu mwenyewe, kuna magari kazaa yapo polisi mpaka leo, yaani kwa ufupi wewe mbeba box hujui kitu. Ila pia mbowe yupo segerea
 
Am repeating again for the last time... This time around mmepatikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefatilia sana aina ya siasa za upinzani ktk kipindi hiki cha awamu ya tano kwa kweli usipokaa chini na kutafakari unaweza amini kama kweli hawa watu wanaonewa. Nasema hivi kwa sbb msingi wa uwajibikaji na kufuata sheria za Nchi unafuatwa nukta hadi nukta. Aina ya siasa za mazoea zinazofanywa na hawa jamaa ndizo hizo zinazowasumbua kiasi cha kuona kwamba hawatendewi haki wanaminywa kila kona lakn hapana.

Sakata la Lissu ni moja ya matukio ambayo yaliikumba Nchi ktk nyakati tofauti na maeneo tofauti. Nikisema hivyo unajua nn namaanisha. Tulishuhudia mauaji ya raia na askari kule kibiti wilayani mkuranga mkoani Pwani, Tulishuhudia yule mzungu aliyeuawa masaki aliyekuwa akishughurika na ujangili wa tembo wetu, Tulishuhudia shambulio la mwanajeshi mstaafu akiwa ktk gari yake getini, nk. Lkn mpaka leo hakuna aliyehoji nn mwendelezo wa haya matukio wote hoja imehamia kwa Lissu. Sifurahishwi na tukio hili bali nahuzunishwa kulibeba hili tukio kama ajenda ya kisiasa na kuanza kuwapaka matope viongozi wa Nchi kana kwamba Nchi hii kila raia kapewa askari wa kumlinda. Muhalifu ana mbinu nyingi sana za kupoteza ushahidi hasa pale anapotaka kufanya uhalifu cha kwanza ni kusoma mazingira na kutafuta mbinu zitakazomfanya afanye tukio lake kirahisi na asijulikane na hasa maeneo ambayo anajua kuwa kumeimarishwa ulinzi. Hivyo bado nitabaki kupinga vikali shutuma dhidi ya Serikali juu ya shambulio hili na kinachotakiwa ni kutoa ushirikiano pale ambapo vyombo vya kiupelelezi vinafanya kazi yake jambo ambalo halipo na hawalitaki hata kulisikia.

Hoja ya pili ninayoona inazungumziwa hapa ni kwa nn Lissu hajatibiwa na Serikali kama wabunge wengine?
Kila kitu kina sheria zake na taratibu zake ambazo hujiwekea. Na kama unaenda kinyume na utaratibu huo hakuna wa kumlaumu. Hakuna asiyejua kuwa ili mbunge akatibiwe nje ya Nchi kunahitajika kibali maalumu kutoka juu ikiwa mamlaka ya kitabibu imethibitisha kuwa mgonjwa ana ulazima wa kwenda kumtibiaa Nje ya Nchi. Na sehemu yenye mamlaka hayo ni Hospital ya Taifa Muhimbili. Tujiulize je Lissu alipewa kibali kutoka wapi kwenda nje ya Nchi kutibiwa? Hospital ya Dodoma ilikuwa na mamlaka ya kumsafirisha Lissu kwenda Kenya? Huduma aliyoipata Lissu Kenya hospital yetu Muhimbili wasingeiweza? Unapojiamulia jambo kwa utashi wako ina maana si unajiweza! Sasa hapo lawama zinatoka wapi? Rufaa ya kwenda Ubeligiji ilitoka wapi? Kuna utaratibu wwt uliotumika hata alipopata nafuu kiasi alipokuwa Kenya? Hoja yao ni kwa sbb ya usalama wake kwa sbb walishahukumu kuwa akiletwa Muhimbili watesi wake ambao ni viongozi wa Nchi hii itakuwa rahisi kutimiza azma yao. Leo hii lawama kibao serikali imesusa kumtibia lkn mliangalia wapi mlipojikwaa?

Hoja ya 3 ni kwamba hakuna kauli yyt kutoka kwa Mh. Rais kulaani juu ya tukio hili.
Nasema si kweli. Baada ya taarifa kusambaa tuliona Mh. Rais akitweet kwenye ukurasa wake wa tweeter kulaani tukio hili na kuviomba vyombo vinavyohusika kuchukua hatua na kuwakamata waliohusika na tukio hili. Lkn ajabu kwa hili wanakwambia sio official haya ni maajabu sana ikiwa mambo mengi mnamfataga hukohuko tweeter kujua leo Rais kasema nn. Huku mitandao hii hii ya kijamii ndipo tunapopata updates za kila siku mapema na ndio njia rahisi kwa sasa watu kujua kila jambo. Lkn kwa hili imeonekana halina nguvu. Sijui walitaka Rais asimame kwenye tv na kutangaza siku 3 za maombezi hata sielewi.

Hoja ya 4 eti Wabunge walikatazwa kwenda kumuona akiwa Nairobi hospital hivi wabunge na Makamu wa Rais nani mwenye ushawishi mkubwa au nafasi ya juu zaidi serikalini? Tena Mama Samia Suluhu alipokwenda na salamu za Mh. Rais alizipokea lkn baada ya kutoka kamkana tena kwa kuita na waandishi wa habari akiwa hsptl.

Sasa hivi kuna jipya mitandaoni baada ya kauli ya spika wa Bunge Mh. Job Ndugai kutamka kusimamishia mshahara wake na stahiki nyingine kwa hoja kwamba ni mtoro. Wengi wameponda hili na kubeza huku wakionyesha kutokukubaliana na kauli hii lkn bila ya kutafakari kwa kina nini msingi wa kauli hii.
Hakuna mwenye chuki na mtu eti kisa mpinzani hali ya kuwa Nchi hii ni yetu sote. Lkn tujiulize Tundu Lissu ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ina maana kwamba ni Muajiriwa wa Bunge. Bunge linajua kuwa Mbunge wake ana ruhusa ya ugonjwa kutokana na matatizo yaliyompata. Lkn Bunge hilohilo bado linamlipa mshahara na stahiki nyingine kama Mbunge kwa kuwa ni haki yake. Zaidi ya ruhusa ya ugonjwa hakuna taarifa nyingine ambazo muajiri anazijua juu ya muajiriwa wake. Lkn inapotokea sasa huyu muajiriwa akiwa anafanya shughuli nyingine tofauti na kile kilichompeleka mojakwamoja anahesabiwa huyu mtu mtoro. Nani aliyemtuma kuzunguka Nchi nyingine kufanya mahojiano, vikao, na mikutano? Kwa ruhusa ipi kutoka kwa mwajiri wake? Hivi hiyo ni moja ya tiba ambayo daktari alimwandikia kwamba ili upone kabisa inabidi uzunguke Nchi za Magharibi ukaishutumu Nchi yako na serikali? Tuacheni ushabiki kwenye mambo serious kama haya.
Narudia kusema tena kuwa sheria inapopata wa kuifatilia nukta hadi nukta lazima mayowe utayasikia tu. Kwa hiyo hizi hoja za wapinzani zinazotrend kila kukicha ni kwa sbb ya kuishi kimazoea.
Kinachokufaa ni kitukanwa na huna akili, kuua ndiyo tafasri ya sheria, kimbilieni hata kwa watumishi wa Mungu lkn uovu wenu haufichiki mmeichafua sifa na amani ya tanzania

Tafuta clip ya mh. kule Utube wakati anapokea taarifa ya makinikia . Utajuwa kwa nini Lissu alishambuliwa na pia kwanini hakuna uchunguzi wowote mpaka sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCTV nyumbani kwa lisu zimegolewa ,nani wa kwenda nyumbani kwa lisu?
Walinzi wetu siku zote tunawajua wakisikia mlio wa bunduki hujilinganisha na siraha aliyonayo kwanza na kulala.hivi wangefanya nini kama ndio ungekuwa wewe.
 
Moja wapo ni kuhakikisha Mbowe anakosea ili afungwe gerezani. Huo mpango wake kausuka vizuri mno. Sasa hivi akitoka ataanza amandra amandra then serikali ikisema upelelezi yeye atasema amandra. Yaani lisu ilikuwa afe maana uenyekiti ni wa kaskazini tu na pia lowas bado anadai chenji kwa mbowe wewe unafikiri mbow sasa ana hela??? Madawa ya kulevya siku hizi kabanwa hauzi
Ona aibu ewe mchumia tumbo! Inakuongezea miligramu ngapi za damu kuuandika uongo na uzushi huu?
Kama unadhani watanzania ni wajinga kama wewe basi unajidanganya mithili ya mbuni mficha kichwa na kuacha makalio nje pindi amuonapo simba!
Hii dhambi itawafikisha mirembe tu ipo siku kwani ndipo panapowastahili!
Mbowe ana dola na jeshi? Huoni kama unaidhalilisha serikali yenu kwa kushindwa na mtu mmoja? Hivi wangekuwa kina Mbowe kumi si mtakimbia?
 
Nimefatilia sana aina ya siasa za upinzani ktk kipindi hiki cha awamu ya tano kwa kweli usipokaa chini na kutafakari unaweza amini kama kweli hawa watu wanaonewa. Nasema hivi kwa sbb msingi wa uwajibikaji na kufuata sheria za Nchi unafuatwa nukta hadi nukta. Aina ya siasa za mazoea zinazofanywa na hawa jamaa ndizo hizo zinazowasumbua kiasi cha kuona kwamba hawatendewi haki wanaminywa kila kona lakn hapana.

Sakata la Lissu ni moja ya matukio ambayo yaliikumba Nchi ktk nyakati tofauti na maeneo tofauti. Nikisema hivyo unajua nn namaanisha. Tulishuhudia mauaji ya raia na askari kule kibiti wilayani mkuranga mkoani Pwani, Tulishuhudia yule mzungu aliyeuawa masaki aliyekuwa akishughurika na ujangili wa tembo wetu, Tulishuhudia shambulio la mwanajeshi mstaafu akiwa ktk gari yake getini, nk. Lkn mpaka leo hakuna aliyehoji nn mwendelezo wa haya matukio wote hoja imehamia kwa Lissu. Sifurahishwi na tukio hili bali nahuzunishwa kulibeba hili tukio kama ajenda ya kisiasa na kuanza kuwapaka matope viongozi wa Nchi kana kwamba Nchi hii kila raia kapewa askari wa kumlinda. Muhalifu ana mbinu nyingi sana za kupoteza ushahidi hasa pale anapotaka kufanya uhalifu cha kwanza ni kusoma mazingira na kutafuta mbinu zitakazomfanya afanye tukio lake kirahisi na asijulikane na hasa maeneo ambayo anajua kuwa kumeimarishwa ulinzi. Hivyo bado nitabaki kupinga vikali shutuma dhidi ya Serikali juu ya shambulio hili na kinachotakiwa ni kutoa ushirikiano pale ambapo vyombo vya kiupelelezi vinafanya kazi yake jambo ambalo halipo na hawalitaki hata kulisikia.

Hoja ya pili ninayoona inazungumziwa hapa ni kwa nn Lissu hajatibiwa na Serikali kama wabunge wengine?
Kila kitu kina sheria zake na taratibu zake ambazo hujiwekea. Na kama unaenda kinyume na utaratibu huo hakuna wa kumlaumu. Hakuna asiyejua kuwa ili mbunge akatibiwe nje ya Nchi kunahitajika kibali maalumu kutoka juu ikiwa mamlaka ya kitabibu imethibitisha kuwa mgonjwa ana ulazima wa kwenda kumtibiaa Nje ya Nchi. Na sehemu yenye mamlaka hayo ni Hospital ya Taifa Muhimbili. Tujiulize je Lissu alipewa kibali kutoka wapi kwenda nje ya Nchi kutibiwa? Hospital ya Dodoma ilikuwa na mamlaka ya kumsafirisha Lissu kwenda Kenya? Huduma aliyoipata Lissu Kenya hospital yetu Muhimbili wasingeiweza? Unapojiamulia jambo kwa utashi wako ina maana si unajiweza! Sasa hapo lawama zinatoka wapi? Rufaa ya kwenda Ubeligiji ilitoka wapi? Kuna utaratibu wwt uliotumika hata alipopata nafuu kiasi alipokuwa Kenya? Hoja yao ni kwa sbb ya usalama wake kwa sbb walishahukumu kuwa akiletwa Muhimbili watesi wake ambao ni viongozi wa Nchi hii itakuwa rahisi kutimiza azma yao. Leo hii lawama kibao serikali imesusa kumtibia lkn mliangalia wapi mlipojikwaa?

Hoja ya 3 ni kwamba hakuna kauli yyt kutoka kwa Mh. Rais kulaani juu ya tukio hili.
Nasema si kweli. Baada ya taarifa kusambaa tuliona Mh. Rais akitweet kwenye ukurasa wake wa tweeter kulaani tukio hili na kuviomba vyombo vinavyohusika kuchukua hatua na kuwakamata waliohusika na tukio hili. Lkn ajabu kwa hili wanakwambia sio official haya ni maajabu sana ikiwa mambo mengi mnamfataga hukohuko tweeter kujua leo Rais kasema nn. Huku mitandao hii hii ya kijamii ndipo tunapopata updates za kila siku mapema na ndio njia rahisi kwa sasa watu kujua kila jambo. Lkn kwa hili imeonekana halina nguvu. Sijui walitaka Rais asimame kwenye tv na kutangaza siku 3 za maombezi hata sielewi.

Hoja ya 4 eti Wabunge walikatazwa kwenda kumuona akiwa Nairobi hospital hivi wabunge na Makamu wa Rais nani mwenye ushawishi mkubwa au nafasi ya juu zaidi serikalini? Tena Mama Samia Suluhu alipokwenda na salamu za Mh. Rais alizipokea lkn baada ya kutoka kamkana tena kwa kuita na waandishi wa habari akiwa hsptl.

Sasa hivi kuna jipya mitandaoni baada ya kauli ya spika wa Bunge Mh. Job Ndugai kutamka kusimamishia mshahara wake na stahiki nyingine kwa hoja kwamba ni mtoro. Wengi wameponda hili na kubeza huku wakionyesha kutokukubaliana na kauli hii lkn bila ya kutafakari kwa kina nini msingi wa kauli hii.
Hakuna mwenye chuki na mtu eti kisa mpinzani hali ya kuwa Nchi hii ni yetu sote. Lkn tujiulize Tundu Lissu ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ina maana kwamba ni Muajiriwa wa Bunge. Bunge linajua kuwa Mbunge wake ana ruhusa ya ugonjwa kutokana na matatizo yaliyompata. Lkn Bunge hilohilo bado linamlipa mshahara na stahiki nyingine kama Mbunge kwa kuwa ni haki yake. Zaidi ya ruhusa ya ugonjwa hakuna taarifa nyingine ambazo muajiri anazijua juu ya muajiriwa wake. Lkn inapotokea sasa huyu muajiriwa akiwa anafanya shughuli nyingine tofauti na kile kilichompeleka mojakwamoja anahesabiwa huyu mtu mtoro. Nani aliyemtuma kuzunguka Nchi nyingine kufanya mahojiano, vikao, na mikutano? Kwa ruhusa ipi kutoka kwa mwajiri wake? Hivi hiyo ni moja ya tiba ambayo daktari alimwandikia kwamba ili upone kabisa inabidi uzunguke Nchi za Magharibi ukaishutumu Nchi yako na serikali? Tuacheni ushabiki kwenye mambo serious kama haya.
Narudia kusema tena kuwa sheria inapopata wa kuifatilia nukta hadi nukta lazima mayowe utayasikia tu. Kwa hiyo hizi hoja za wapinzani zinazotrend kila kukicha ni kwa sbb ya kuishi kimazoea.
Ona aibu kwa uongo huu! Waandikie ccm ambao kila kitu wanashangilia kwa uduni wao wa kufikiri! Sidhani kama akili yako ndiyo iliyokuruhusu kudanganya hapa zaidi sana tumbo lako limekusukuma zaidi! Ona aibu na muogope Mungu ewe mnafiki kwa maana himaya hii ya kinafiki itakimaliza kizazi chako! Najua unaujua ukweli ila umeamua kuzikatili figo zako na kuziua kabisa kwa kuandika uongo!
 
Muhalifu ana mbinu nyingi sana za kupoteza ushahidi hasa pale anapotaka kufanya uhalifu cha kwanza ni kusoma mazingira na kutafuta mbinu zitakazomfanya afanye tukio lake kirahisi na asijulikane na hasa maeneo ambayo anajua kuwa kumeimarishwa ulinzi
Kwahiyo Muhalifu alitumia mbinu ya kuwaondoa walinzi getini na kung'oa CCTV ili kupoteza Ushahidi katika shambulio la lissu? Kwahiyo wahalifu wkatumia mbinu ya kuwahadaa polisi wasihoji mshitukiwa(suspects) yeyote?
 
Mleta Uzi,unaposema mwajiri hana taarifa za mwajiriwa unamaanisha nini?bunge ndo mwajiri wa tundu lisu?kaeni kimya Kwa sasa hamuwezi tena kujificha.mko uchi
 
1. Hao wahalifu ndio walionyofoa CCTV camera kwenye nyumba ya Lissu na majirani zake?
2. Hao wahalifu ndio walisoma mazingira hadi wakahamisha walinzi wote waliokua wanalinda nyumba ya Lissu na naibu Spika ili wakija wasikute mlinzi washambulie kama wanavyotaka?

Unatolea mfano Mzungu wa Masaki, Mwanajeshi, sijui kibiti. Wauaji wa mzungu walikamatwa, washambuliaji wa mwanajeshi walikamatwa, magaidi wa kibiti waliuwawa, je waliomshambulia Lissu ni kina nani?

Kwa akili yako unadhani kua watu hawajui kinachoendelea? Au unafikiri watu wote ni wapiga vigelegele?
Dereva wa Lissu ni shahidi muhimu sana katika tukio hilo,kwa nini Chadema wanamficha asihojiwe? Kuna jambo limejificha hapo ambalo mimi na wewe hatulijui...!!!
 
Back
Top Bottom