Tukio la kutekwa Mdude limefuta mafanikio yote ya ziara ya Rais Kanda ya Nyanda za Juu Kusini

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Na Thadei Ole Mushi.

Kwa ufupi kabisa.

1.Tumshukuru Mungu, aliyetupatia zawadi ya uhai na ambaye alimlinda Kijana mwenzetu Mdude asidhurike kiasi cha kupoteza maisha yake. Pamoja na Kelele zetu ila Mungu ndiye aliyetufanyia kazi kubwa zaidi.

Unapotaka kufanya jambo lolote lazima upitie kanuni ya Cost-Benefit analysis. Hii ni approach ambayo Mara nyingi imekuwa ikitumika kwenye biashara na hutumumika kabla ya MTU kufanya final Decision. Ni kanuni ya Muhimu sana. Kwenye tukio la mdude ipoje:-.

2. Benefit ya kutekwa kwa Mdude inawanufaisha Chadema Kisiasa. Kelele zao kuwa hakuna Demokrasia nchini, kwamba wanaonewa inazidi kujithibitisha. Na hii inatokana na Jeshi letu la POLISI kutokufanikiwa kumdaka yeyote hadi sasa huenda wangewakamata tungelijua Motives ya watekaji.

3. Cost inaiangukia Serikali, kwanza inatupiwa lawama kwamba imeshindwa kuwalinda watu wake ambalo ni jukumu la msingi kabisa la Serikali yoyote, pili tukio hili linafuta kabisa nyayo za Ziara ya Rais katika Nyanda za juu Kusini. Ziara ambayo ilikuwa na mafanikio makubwa mno kisiasa. Kwa sasa huruma imewarudia Chadema na Mdude wao.

4. Kitendo cha Jeshi letu la POLISI mpaka sasa kushindwa kutokomeza kabisa Maswala ya utekaji nchini kunatoa Taswira kwamba hawa watekaji wanambinu kuliko Jeshi letu la POLISI, ni imara kuliko Jeshi letu la polisi, na Polisi imeshindwa kuisaidia Serikali kuondoa Sintofahamu hii ambayo inatuchafua kitaifa na kimataifa. Hawa watekaji mafunzo yao wameyapata wapi ambayo pale CCP hayapatikani?

5. Picha number mbili hapo ukiachana na Mdude ni kijana Mohammed Bouaziz toka Tunisia. Huyu ndiye chanzo cha machafuko ya Tunisia yaliyomuondoa Ben Ali Madarakani huyu kijana ana Miaka 26 tu aliamua kujilipua na mafuta kutokana na Polisi Kumpiga makofi tu mtaani kwake alipokuwa anauza Mbogamboga.

Nimemuweka hapa kuelezea madhara ya chokochoko. Huenda sisi CCM hatujui Ila Kuna watu kwa makusudi wanawajaza RAIA hasira ili labda waichukie Serikali YETU. Haya mambo ya kutekana tekana yanaijengea hasira Serikali YETU na chama chetu. Hatujui ni nani yupo nyuma ya mpango huu na kwa faida ya nani....

Huu mtindo wa teka potea kabisa au teka mrudishe ipo siku linaweza kutokea lililotokea Tunisia. Watu wanaaminishwa tu kwa sasa, katika taifa ambalo nusu na zaidi ya vijana wake hawana ajira huu sio mchezo salama kabisa....... Taifa la vijana ambalo hawana cha kupoteza.

Mimi huwa nasoma kila comments ninayoikuta mtandaoni vijana wapo frustrated sana ni wakati wa kuzungumza yaliyo mema kwao na kuwafanya waone taifa hili ni lao. Si wakati wa kucheza michezo hii hatari. Jeshi letu la Polisi tunaamini MNA weledi wa kutosha tusaidieni katika hili.

Nani anataka kutugawa sisi watanzania?

Ole Mushi
0712702602
 
Kwani kuna mafanikio yalikuwepo? Si mlisema hiyo ziara haina faida?

Hivi chadema mtaanza kini kuwa na misimamo kama wanaume wenzenu tulivyo?
 
Soma tena ujue aliyeandika ni mwanaccm kindakindaki zaidi yako.
 
Kwani nyie nanyi ni wanaume; watu waliojaa woga kiasi ja kujaribu kuua nzi kwa sledgehammer.

Kwanza jina Mushi. Cha pili, nyie ndiyo mlipanga mkamkamata mdude na kumpatia kichapo ili ziara ya rais ivurugike na huo mpango mnadhani uko poa
 
Ungejua hili la mdude kutekwa tunajua mimi na ww uku Mbeya aje magufuli tena tutajaa maradufu
IMG-20190426-WA0007.jpg
 
Ubaya wa utekaji, watu wanaweza kuanza kulipiza visasi kwa kuteka familia za watu maarufu wakiwemo viongozi halafu ikawa mtifuano na mtafutano!

Mtu anaweza kuwa na ulinzi mkali, lakini je vipi shangazi yake, dada yake, mama yake, mtoto wake, mkwe wake, mjukuu wake, kaka yake, dada yake? Watu wakiamua kulipiza visasi kwa kuwateka hao nchi itakalika?

Naona tunapanda mbegu ya chuki na visasi nchini, tutakachovuna, tusije tukajishangaa maana haya mambo ya kihuni tunayalea wenyewe
 
Ni kama amemaliza kwa mkosi.

Badala watu washeherekee mabarabara walijawa na huzuni ya kijana wao na nani aliyemteka na kama ni serikali basi kweli yooooote yamekuwa bure.
 
Kwani kuna mafanikio yalikuwepo? Si mlisema hiyo ziara haina faida?

Hivi chadema mtaanza kini kuwa na misimamo kama wanaume wenzenu tulivyo?
Wewe ni mwanaume shoga sio mwanaume maana wanaume halisi hawajitangazi.
 
Jukumu la mchungaji ni kuhakikisha mifugo ipo salama huko malishoni, kama ikitokea mfugo mmoja ukapotea yupo radhi kuutafuta huko msituni usiku na mchana kupambana kwa kila hali ili auokoe mfugo wake ama aupate ukiwa umekufa - hatarudi nyumbani bila kuupata ukiwa hai ama ufu.
Vivyo hivyo Baba pale nyumbani ana ukumu kama hilo; sasa unashangaa wana familia wanapotea baba hata habari hana - kulikoni bandugu.
 
Na Thadei Ole Mushi.

Nani anataka kutugawa sisi watanzania?
Ni mwenyekiti wa chama Dola chama Chako na wenzako. Anayejiita kichaa au Jiwe. Ndie pekee kikwazo namba moja cha umoja na mshikamano wetu kama Watanzania. Usipepese wala usihangaike kutafuta mwingine. Ni JPM
 
Back
Top Bottom