pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 17,660
- 13,719
Mkuu haikuhusu, hii ni special kwa watu wenye fikra pana na uelewa TU. akili za pazi hapa mtapata shida sana!Kwa hiyo wewe unataka tuandamane kwa sababu ipi haswa?

huyu mtoa mada atakuwa mdogo wa mwenyekiti anataka kuanzisha maandamano yasiyotuhusuYaan tushindwe kuandamana kulaani watu kulinda Uenyekiti Kwa kupiga Risasi Wanasiasa wenzao Tuje kuandamania yasiyo tuhusu?
Kwa hiyo hizo BUKU SABA unazokusanya LUMUMBA ndio unajiona unapiga kazi mwenyewe???Utajuaje kuna upuuzi kama wewe hauko hivyo..
Maandamano andamana wewe.. awamu hii minyoosho tu.. zoea au chimba shimo ujifukie.. hskuna vya dezo fanya kazi mvivu mkubwa.. ulizoea wizi tu.. jela kunakuhusu..
Hapa kazi tu..
Magufuli oyeeeeeee
Watanzania especially wasanii, waandishi wa habari, wanaharakati wa haki za binadamu na interested groups, kesho tuungane kwa pamoja na majirani zetu Kenya kwenda kwenye ubalozi wa Uganda ili kushinikiza uongozi wa kidikteta chini ya rais Yoeli Kaguta Museven umuachie msanii wa nyimbo ambaye pia ni mbunge Mh. Robert Kaygulanyi (Bobi Wine) akatibiwe.
Leo kwao kesho kwetu.A group of Kenyans are planning a march to the Ugandan embassy in Nairobi protesting the detention of Kyadondo East member of Parliament, Robert Kyagulanyi Ssentamu.
==================
The Kenyans led by photojournalist cum activist, Boniface Mwangi say they will march to the Ugandan Embassy in protest on Wednesday, August 22.
Mwangi, while responding to a tweet showing pictures of another protest in Busia Kenya, said he was proud of Kenyans in the west, adding; Thank you for leading on this. Nairobi we are on for #FreeBobiWine on Wednesday, 22nd August. We are marching to the Ugandan Embassy on Riverside drive. The organising team @TeamCourageKE @alaminkimathi@lawsocietykenya will share more details.
It is key to note however, that there was no protest in Busia Kenya, as the pictures shared were picked off an unverified BBC Kenya page which has been set up with Bobi Wine related content.
Meanwhile, the police and military in Kampala were on Monday afternoon involved in running battles with people in the city centre who were protesting against the detention of Kyadondo East Member of Parliament Robert Kaygulanyi also known as Bobi Wine.
UPDATES
Wabunge wa Kenya kwenda Uganda kuandamana. Ubalozi wa Uganda kufungwa. - JamiiForums
Hamia Kenya!Watanzania especially wasanii, waandishi wa habari, wanaharakati wa haki za binadamu na interested groups, kesho tuungane kwa pamoja na majirani zetu Kenya kwenda kwenye ubalozi wa Uganda ili kushinikiza uongozi wa kidikteta chini ya rais Yoeli Kaguta Museven umuachie msanii wa nyimbo ambaye pia ni mbunge Mh. Robert Kaygulanyi (Bobi Wine) akatibiwe.
Leo kwao kesho kwetu.A group of Kenyans are planning a march to the Ugandan embassy in Nairobi protesting the detention of Kyadondo East member of Parliament, Robert Kyagulanyi Ssentamu.
==================
The Kenyans led by photojournalist cum activist, Boniface Mwangi say they will march to the Ugandan Embassy in protest on Wednesday, August 22.
Mwangi, while responding to a tweet showing pictures of another protest in Busia Kenya, said he was proud of Kenyans in the west, adding; Thank you for leading on this. Nairobi we are on for #FreeBobiWine on Wednesday, 22nd August. We are marching to the Ugandan Embassy on Riverside drive. The organising team @TeamCourageKE @alaminkimathi@lawsocietykenya will share more details.
It is key to note however, that there was no protest in Busia Kenya, as the pictures shared were picked off an unverified BBC Kenya page which has been set up with Bobi Wine related content.
Meanwhile, the police and military in Kampala were on Monday afternoon involved in running battles with people in the city centre who were protesting against the detention of Kyadondo East Member of Parliament Robert Kaygulanyi also known as Bobi Wine.
UPDATES
Wabunge wa Kenya kwenda Uganda kuandamana. Ubalozi wa Uganda kufungwa. - JamiiForums
I can't leave my country to dogs alone.Hamia Kenya!
Asshole!I can't leave my country to dogs alone.
Kwa hiyo hizo BUKU SABA unazokusanya LUMUMBA ndio unajiona unapiga kazi mwenyewe???
Katika wajinga wewe unawaongoza...Watanzania especially wasanii, waandishi wa habari, wanaharakati wa haki za binadamu na interested groups, kesho tuungane kwa pamoja na majirani zetu Kenya kwenda kwenye ubalozi wa Uganda ili kushinikiza uongozi wa kidikteta chini ya rais Yoeli Kaguta Museven umuachie msanii wa nyimbo ambaye pia ni mbunge Mh. Robert Kaygulanyi (Bobi Wine) akatibiwe.
Leo kwao kesho kwetu.A group of Kenyans are planning a march to the Ugandan embassy in Nairobi protesting the detention of Kyadondo East member of Parliament, Robert Kyagulanyi Ssentamu.
==================
The Kenyans led by photojournalist cum activist, Boniface Mwangi say they will march to the Ugandan Embassy in protest on Wednesday, August 22.
Mwangi, while responding to a tweet showing pictures of another protest in Busia Kenya, said he was proud of Kenyans in the west, adding; Thank you for leading on this. Nairobi we are on for #FreeBobiWine on Wednesday, 22nd August. We are marching to the Ugandan Embassy on Riverside drive. The organising team @TeamCourageKE @alaminkimathi@lawsocietykenya will share more details.
It is key to note however, that there was no protest in Busia Kenya, as the pictures shared were picked off an unverified BBC Kenya page which has been set up with Bobi Wine related content.
Meanwhile, the police and military in Kampala were on Monday afternoon involved in running battles with people in the city centre who were protesting against the detention of Kyadondo East Member of Parliament Robert Kaygulanyi also known as Bobi Wine.
UPDATES
Wabunge wa Kenya kwenda Uganda kuandamana. Ubalozi wa Uganda kufungwa. - JamiiForums
Mbona baba yako ndiye mwalimu wangu na yeye unamwambiaje.
Kwa hiyo wewe unataka tuandamane kwa sababu ipi haswa?
Hii ni Uingeleza unaweza kujiuliza wameandamana kwa sababu ipi haswa? jitahidi angalau kuwa na fikra pana hasa linapokuja suala la kuonewa kwa mtu au kiongozi yeyote yule iwe ndani au nje ya Tanzania sio kila kitu kuonyesha upumbavu pasipo kutumia akili.