Tukio la Bobi Wine: Tanzania tuko kimya, Kenya kesho wanaandamana

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,340
2,000
Watanzania especially wasanii, waandishi wa habari, wanaharakati wa haki za binadamu na interested groups, kesho tuungane kwa pamoja na majirani zetu Kenya kwenda kwenye ubalozi wa Uganda ili kushinikiza uongozi wa kidikteta chini ya rais Yoeli Kaguta Museven umuachie msanii wa nyimbo ambaye pia ni mbunge Mh. Robert Kaygulanyi (Bobi Wine) akatibiwe.

Leo kwao kesho kwetu.
==================
A group of Kenyans are planning a march to the Ugandan embassy in Nairobi protesting the detention of Kyadondo East member of Parliament, Robert Kyagulanyi Ssentamu.

The Kenyans led by photojournalist cum activist, Boniface Mwangi say they will march to the Ugandan Embassy in protest on Wednesday, August 22.

Mwangi, while responding to a tweet showing pictures of another protest in Busia Kenya, said he was proud of Kenyans in the west, adding; Thank you for leading on this. Nairobi we are on for #FreeBobiWine on Wednesday, 22nd August. We are marching to the Ugandan Embassy on Riverside drive. The organising team @TeamCourageKE @alaminkimathi@lawsocietykenya will share more details.

It is key to note however, that there was no protest in Busia Kenya, as the pictures shared were picked off an unverified BBC Kenya page which has been set up with Bobi Wine related content.

Meanwhile, the police and military in Kampala were on Monday afternoon involved in running battles with people in the city centre who were protesting against the detention of Kyadondo East Member of Parliament Robert Kaygulanyi also known as Bobi Wine.

UPDATES

Wabunge wa Kenya kwenda Uganda kuandamana. Ubalozi wa Uganda kufungwa. - JamiiForums
 
chibuga mugeta

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
1,047

Watz wakumlaumu sana japo nitafikiriwa vibaya ni Mwl Nyerere,pia watawala wetu wa mwisho wametujengea uoga sana yaan watz ni waoga sijawahi ona duniani ila kuongea tu ni wazr lakini kutekeleza ni shida,CCM nao ndio wanatumia kete hii kutuadhibu na wanalazimisha kizazi na kizazi tuendelee kuwa watu wa uoga,japo Nyerere alifanya haya kutuunganisha na kutupa upole wa kinafiki ila cha ajabu watu na ndugu zake wa Mara ni shupavu kweli,kingine cha kulaumu ni hizi dini za mitume na manabii zimetuletea ugonjwa mkubwa sana na kupndikiza woga kati yetu hasa kwa akina mama,wao ili matatizo yaishe hudanganya watu wasiandamane bali waende ktk makanisa yao wakaombewe na kuchunwa sadaka,hvy utawakuta watz wanadhulumiwa haki zao ila utawasikia heeeeeenh yaaaaan Mungu yupo ipo siku tu,heeeeenh yaan Mungu huyu basi tu ,hhheeeeeeeeeeenh tuheshimu kila mamlaka ilyowekwa na Mungu hvy tusiandamane wala kufanya fujo tumuachie Mungu tu,tena nahc kati ya vitu ambavyo maCCM yataanzisha kwa wingi ili yazidi kukiua kizazi chetu ni vyama vay siasa na madhehebu,Tuna kazi kubwa sana TZ
 
Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
10,842
2,000
Natoa wito kwa jeshi la polisi iwavunje viuno wote watakaojaribu kuandamana, huu ni upumbavu unaandamanaje kupinga kitu anachofanyiwa jirani yako wakati na wewe unafanyiwa kitu kama kilele kutoka kwa mtu mwenye tabia inayofanana na mwenye sifa kama zilezile za jirani yako lakini hujawahi kuandamana hata siku moja kuonyesha kuwa na wewe unaumizwa kama jirani yako? Ukiambiwa kuandamana ndiyo kwanza unatafuta njolo za kujificha.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom