DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Tunasubiri tamko la Muadhama Kardinal Polycap Pengo,Tunasubiri tamko la Alex Malasusa, Tunahitaji tamko la Valentino Mokiwa..Wakristo tunajiona Wapweke sana VIONGOZI WETU juu ya tukio la 'UGAIDI' Arusha. TAIFA LINAHITAJI UFAFANUZI WENU.