Kuna mijadala inaendelea kwenye magazeti, vijiweni, kwenye mitandao nk, kuwa serikali inahusika na matukio yanayoendelea nchini ili kuhamisha mijadala ya umma ingawa unatakiwa kiujiuliza kwa nini matukio yamekuwa mengi hivo?
Mwezi January kulikuwa na ghasia za Mtwara, Februari kulikuwa na mauaji ya viongozi wa dini na kutekwa kwa Kibanda, March imegubikwa na suala la Rwakatare na sasa ghorofa lililoporomoka na kuua watu Dar! Mtanzania anayeipenda nchi yake na anayetaka kuona nchi yake ikendelea anaanza kujiuliza tukio gani litafuata mwezi unaokuja?
Serikali ya hawamu hii imeongoza kwa matukio ya kusikitisha! Kumbuka huko myuma matukio kama mabomu ya Mbagala na baadae Gongolamboto, kuzama kwa meli, mafuriko ya Dar nk. Mi huwa nadhani ndiyo maana serikali hii imeshindwa ku-perfoam maana kila wakati wako kwenye misukosuko na hali inapotaulia kidogo muda huo badala ya kuutumia kupanga na kufanya mambo ya maendeleo wao wanaamua kuzunguka dunia!