Tukio gani limewahi kukuumiza sana?

Tukio gani limewahi kukuumiza sana?

Ngunya1

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Posts
733
Reaction score
1,206
Habari wapendwa kwema mimi binafsi tukio ambalo liliniumiza ni pale nilipo poteza Kazi mara ya kwanza kwa sababu ya majungu.

Ashukuriwe Mungu wa mbinguni baada ya wiki mbili nilipata kazi nzuri sana na wale walio fanya majungu baadae waliaibika sana.

Share chochote ambacho kilikuumiza.
 
Kweli ili uwe dhahabu lazima upite kwenye moto,lol ni mengi tuu kwasasa yamebaki hadithi...
 
Hili la Bi Mkubwa kuweka kipaumbele kwenye uapishajiiiiiiii, badala ya kwenda Mto Rufiji kukagua mradi wa umeme. Sitalisahau tukio hilo kwa kweli 🙂


^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ ~ JPM.
 
Nilipoota nipo moja ya nchi za ulaya nakula mabumunda nilipoamka nikakuta nyumba imejaa moshi wa takataka zilizokuwa zinachomwa jirani
 
Kumpoteza mzazi mwenzangu nilieamin ipo siku tutasimama pamoja kuitunza familia yetu.
 
Sina hata moja Sina wasiwasi Wala woga nakulaga tu maisha Kama ifuatavyo...sio mchezo
IMG_20210530_223905.jpg
IMG_20210524_143647.jpg
IMG_20210520_125726.jpg
 
Back
Top Bottom