Tukifa tunazaliwa mpya!?

Tukifa tunazaliwa mpya!?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Wapo watu wana amini ukifa unazaliwa tena (reincarnation)

Yaani kinacho kufa ni mwili wako lakini roho yako bado itabaki inaishi apa duniani ndani ya mwili wa mtu mwingine

Kama ni kweli basi mimi nitakuwa na roho wa Abunuwasi
Yaani mimi ni Abunuwasi mtupu
 
Ukifa umekufa hayo maswala ya kuzaliwa upya ni imani na ni yakufikirika tu wenye ushahidi watushuhudie.
 
Ila dunia hii inavyozidi kuwa nzito asee, kama ni kitu cha kweli itabidi muumbaji wetu atupe option maana saa hii kuna baadhi yetu tungepewa option ya kuzaliwa ama kutokuzaliwa kutokana na hekaheka tunazopambana nazo duniani. Walahi tusingekubali 😁
 
MUULIZE KABUDI MKUU YULE MAISHA YA ZAMANI ALIKUWA NAIBU WA JESHI LA OTTOMAN
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom