Tukidhamiria kukamata ugoni Dar watabaki wangapi?

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,793
Reaction score
7,165
Kumekuwepo mahotel mengi yanajenjwa kila kukicha walengwa wakiwa wageni, lakini kumekuwa tofauti wenyeji ndio wanakuwa wageni, eti mtu anatoka kinondoni manyanya anakwenda magomeni mapipa.

Mgeni huyu anasingizia stress lakini huku akiwa na mke wa mtu aliyeagwa uwanja wa ndege au ubungo kwenda mikoani na kusindikizwa kwa mbwembwe , kumchumu na kumwombea safari njema.

Ghafula Mama anatafutwa mmewe kapata ajari kibaha katibiwa na kuruhusiwa jioni huku mke akilalamikia simu kuishiwa chaji, asubuhi anamkuta Mme anajiandaa kurejea kwenye vipimo.

Ikiwa kila Nyumba ya wageni inawekewa mite go ndoa zitabaki ngapi kwenye hili jiji la raha na karaha.
 
unatafuta uhasama na watu,hivi unakijua kilichomfanya makamba wamchukie sababu kuu vurumai zake za kila siku kwa viburudisho vya watu vya ohio,kinondoni na maeneo mengineyo
 
Kweli kabisa ntabaki mimi kwasababu ni nipo single na mke wa mtu kwangu ni sumu
 
Kumekuwepo mahotel mengi yanajenjwa kila kukicha walengwa wakiwa wageni, lakini kumekuwa tofauti wenyeji ndio wanakuwa wageni, eti mtu anatoka kinondoni manyanya anakwenda magomeni mapipa.

Mgeni huyu anasingizia stress lakini huku akiwa na mke wa mtu aliyeagwa uwanja wa ndege au ubungo kwenda mikoani na kusindikizwa kwa mbwembwe , kumchumu na kumwombea safari njema.

Ghafula Mama anatafutwa mmewe kapata ajari kibaha katibiwa na kuruhusiwa jioni huku mke akilalamikia simu kuishiwa chaji, asubuhi anamkuta Mme anajiandaa kurejea kwenye vipimo.

Ikiwa kila Nyumba ya wageni inawekewa mite go ndoa zitabaki ngapi kwenye hili jiji la raha na karaha.

WATABAKI WANAOLINDWA NA MABODIGADI au sivyo?
 
Usithubutu mzee utatuumbua wengi sana, maana dah....!!!
 
ha ha ha nakumbia sikamatiki hta kidogo hta utumie mbinu zozote

na kama mume hachepuki oooooh
 
Usithubutu mzee utatuumbua wengi sana, maana dah....!!!

na machimbo yanakuwa mengi ile mbaya hata huyui mume wako utampata wapi wallahi!! maana kama kule kigamboni kuna chimbo zuri ile mbaya karibia na kongowe dah!! mawazo tuu ya kuwa pale kuna michepuko mingi siku za weekend huwezi kupata
 
Kama mumeo hachepuki fukuza nyumbani.

Hakutendei haki kabisa

Hebu fikiri kwanza....Mahoteli kila kukicha yanajengwa...Ubungo, sinza, kinondoni karibu kila baada ya mitaa miwili mahoteli na Guests je fikiria mwenyewe...Tuna wageni gani hasa wanaokuja kutoka nje ya mkoa wa kulala hoteli hizo?
Kwani sie tumekuwa Brazil kombe la dunia lipo kwetu wageni kila kona ya nchi wanakuja?

Fahamu kuwa hoteli hizi ni za kulala sisi sisi japo tunamajumba yetu...Mwanaume wa kileo km hachepuki anajambo
 
Back
Top Bottom