POLENI NA MAJUKUMU WANA JF....Jf ni sehemu ambayo inanisaidia mambo mengi ya kimaisha... napata ujuzi tofauti tofaut na huwa napata faida nying sana nikiwa humu ..KIFUPI NAIFURAHIA NA PIA NAPENDA IIENDELEE KUWEPO......LAKINI kuna baadhi ya wa2 humu ndan huwa wanaudh sana, hasa pale m2 anavyokuwa anataka msaada furan...halafu anatokea m2 mwingne anakuja na majibu machafu(matusi,kejeli,kukatishana tamaa,unafiki)...hii inadhihirisha kwamba humu ndan kuna wa2 wengine si GREAT THINKER.....ushauri wangu...jaribu kuchangia kutokana na jukwaa ulilopo...usilete mambo ya chit chat kwenye jukwaa la elimu au la business pia ki2 usichokijua kiache waje wanaojua watoe wanavyovijua....hiyo tabia huwa inanikera sana.... MA GREAT THINKER NAOMBA 2KEMEE HIKI KITENDO, BILA SHAKA KINAUDHI WENGI