Tukaribie mwanawane

Samaki wa maji baridi, kachumbari na Dongo sio mchezo
 
ni sheedah mkuu
Kiongozi wawili kweli tutashiba?

Mbona ugali mdogo sana!

Au kila atakaekaribia utampatia moja yake kama hiyo?

Na hapo itakuwaje tukawa mfano tuliokaribia tumefika watu wanne au watano hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…