Tukapige kura

Very easy niweke kwenye ignore list yako hutaona thread yangu Wala post yangu yoyote hivyo tu.
 
Acha kukomaza fuvu,issue ni wewe kuharibu thd za JF na sio mimi kutokuona post zako,kwani nikikuweka kwenye ignore list ndio itakua solution ya ww kuacha huo utoto?
Mkuu barehe inanisumbua nikikua nitaacha. Kajadili thread huko.
 
Habari Jamii, Ombi langu ni kuwa tukapige kura asilimia kubwa ya vijana huwa wanalalamika lakini, hawapigi kura, tukapige kura?
Nilishapiga,nimemchinja kibaraka wa mabeberu ili aende zake ubeligiji salama.

 
Nimefarijika kukuta idadi ya vijana na wanafunzi ni ku

Nimefarijika kukuta idadi ya vijana na wanafunzi ni kubwa kituoni.
Kila ninapowaona "Wanafunzi" natamani niwaeleze adha ya 15% ya boom la HESLB. Ninatamani niwaeleze kuwa kuna mgombea ambaye ameona adha hiyo. Ninatamani saaana. Makato ya 15% katika mishahara kiduchu + kodi + N.S.S.F + Mikopo mingine + matumizi = 0
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…