Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,766
- 107,360
Hello Guys ma GT wa Jf.
Naomba tujuzane Tv channels ambazo hunyesha Documentary ya mambo mbalimbali.
Mm napenda hizi mbili.
DA VINCI LEARNING TV.
Hii ni bonge la Chanel aisee nimepata na kujifunza mengi hapa mfano. Chimbuko ya maandishi/herufi zilivyogunduliwa, jinsi Pyramid zilivyojengwa, Uumbaji wa dunia tokea mwanzo mpaka leo. Vingi vingi sana nimejifunza hapa.
DISCOVERING CHANNEL.
Hii nayo naipenda japo sio kama hiyo ya juu. Nimejifunza hapa Uhusiano uliokuwepo kati ya Yesu na Maria magdalena.
Weka zako nawewe unazozifahamu zinazotoa maarifa...
☆☆Mondraymondray☆☆☆