Wakopaji ni risk takers na risk takers wengi ndio wamefanikiwa. Ninafuraha sana kuwa mkopaji nzuri wa mabank na sijawahi kuziangusha wala mikopo haijawahi kuniangusha. Leo nimetoka kuprocess mwingine dhamana nyumba iliyotokana na mikopo.
Sent from my TECNO BA2 using
JamiiForums mobile app