Ulienda kopa bayport nini?hamjambo,
leo naomba tupeane hustles baada ya kujikuta tumeingia kwenye mikopo na taasisi za kifedha,
binasfsii najuta kukopa, japo sikununua gali wala anasa yeyote ninayojilaum lakin kurejesha nusu ya mshahara kila mwezi kwa miaka mitano inauma sana, wakati mwingine ata nauli inakata yani.
vip wewe unaathirika kiasi gani, unajikwamuaje, hali hii mpaka lini?
NIMEAPA NIKIMALIZA MKOPO SIKOPI TENA CHA MOTO NAKIONA.
Nakara kwa NBC bank.
Nadaiwa na bodi ya mkopo zaidi a Milioni 9.
Asante Mtena, nmeutafuta sana nmeukosa, hebu leta link hapaTafuta Uzi upon humu ndani unahusu iyo mambo umejadiliwa kwa kuna
"Tuliochukua mkopo tukafanya ndivyo sivyo"
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vema sana mkuu..Mkopo hata kama ukipewa bila riba kama inafanya hivyo ulivyotaja hapo lazima utakuwa mchungu..Raha ya pesa ya mkopo,
Ipelekewe kwenye mradi wa biashara INAYOENDELEA.
Tatizo Kubwa LA watumishi wa Umma,
Pesa ya mkopo mnapeleka kwny
-kutatulia matatizo,
-kujengea nyumba za kuishi
-kunulia usafir binafs
-Kununulia Fenicha
Kwa Style hii,
Ni lazima ela ya mkopo iwe majuto
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kuna aina mbili za mikopo, 1. mikopo Mibaya(bad debt) 2. Mikopo mizuri(good debt)hamjambo,
leo naomba tupeane hustles baada ya kujikuta tumeingia kwenye mikopo na taasisi za kifedha,
binasfsii najuta kukopa, japo sikununua gali wala anasa yeyote ninayojilaum lakin kurejesha nusu ya mshahara kila mwezi kwa miaka mitano inauma sana, wakati mwingine ata nauli inakata yani.
vip wewe unaathirika kiasi gani, unajikwamuaje, hali hii mpaka lini?
NIMEAPA NIKIMALIZA MKOPO SIKOPI TENA CHA MOTO NAKIONA.
Nakara kwa NBC bank.
Usichukue mkopo pia kuanzisha biashara.mkuu kuna aina mbili za mikopo, 1. mikopo Mibaya(bad debt) 2. Mikopo mizuri(good debt)
1. MKopo Mbaya
Hii ni mikopo ambayo mtu anachukua na kwenda tufanyia shughuri ambayo haina uzalishaji au ni mzigo (liabilies), mfano kununua gari,kujenga nyumba,kununua kiwanja, kununua fenicha na vitu kama hizo. Matokeo yake inabid utumie nguvu yako binafsi kulipia mkopo(Kukatwa kwenye mshahara) Hii mara nyingi wafanyakaz ndio waathirika wakubwa.
2. Mikopo mizuri:
Ni aina ya mikopo ambayo mtu huchukua ili kuanzisha au kuendeleza biashara, Hivyo basi hata kama ni mfanyakazi unakatwa kwa mshahara basi faida inayopatikana kwenye biashara, inacover sehemu ambapo mshahara umepungua. Aina hii ya mikopo ukiimaster hutajutia kuchukua mikopo instead utaifurahia fulsa ya mikopo. Mimi nilishakoseaga, nikajifunza kwa sasa ninapenda mikopo balaaa...
mkuu kuna aina mbili za mikopo, 1. mikopo Mibaya(bad debt) 2. Mikopo mizuri(good debt)
1. MKopo Mbaya
Hii ni mikopo ambayo mtu anachukua na kwenda tufanyia shughuri ambayo haina uzalishaji au ni mzigo (liabilies), mfano kununua gari,kujenga nyumba,kununua kiwanja, kununua fenicha na vitu kama hizo. Matokeo yake inabid utumie nguvu yako binafsi kulipia mkopo(Kukatwa kwenye mshahara) Hii mara nyingi wafanyakaz ndio waathirika wakubwa.
2. Mikopo mizuri:
Ni aina ya mikopo ambayo mtu huchukua ili kuanzisha au kuendeleza biashara, Hivyo basi hata kama ni mfanyakazi unakatwa kwa mshahara basi faida inayopatikana kwenye biashara, inacover sehemu ambapo mshahara umepungua. Aina hii ya mikopo ukiimaster hutajutia kuchukua mikopo instead utaifurahia fulsa ya mikopo. Mimi nilishakoseaga, nikajifunza kwa sasa ninapenda mikopo balaaa...
Unamiaka mingapi unarejesha mpaka sasahamjambo,