Tujuzane Software nzuri za kutoa FRP 2019

DX2018

Member
Nov 24, 2018
55
45
Habari wana jamviii

Nimefungua uzi huu kwa wale mafundi na wataalamu wa kutoa FRP kwenye simu zetu za android.

Naomba tudiscuss software bora ambazo zinafanya vizuri kwenye kufungua FRP security kwenye android smartphones.

Maybe wengine hawajui nini maana ya FRP!

Factory Reset Protection (FRP) Lock?
Hii ni security feature ambayo imewekwa na GOOGLE kwenye simu za androids (5.1 and above) ili kuzuia mtu mwingine asitumie simu yako endapo akifanya force factory reset.

Na hii imekuwa tatizo kwa watu wengi hata kama simu ni yako ukajisahu ukatumia botton key kuformat au kureset basi lazima ukutane na hii lock na inakuwa shida zaidi pale ukiwa umesahau email au passowrd ya email, basi utalazimikamika kutumia njia mbadala kurudisha simu yako kwenye hali yake.

Njia hizo mbadala basi utalazimika kutumia softwares mbali kuflash au kubypass hii FRP LOCK.

Binafsi natumia hii software download full packed + flashing tools hapa XTM-MASTER FRP kwangu imekuwa ikifanya vizuri sna

So nimefungua uzi huu tupeane ujuzi na jinsi ya kukabidili simu zinazoshindikaana kabisa kubypass

Karibuni.

How-to-unlock-disable-FRP-Factory-reset-protection-lock.png
 
Google account manager, Can do all that.

Type neno lolote, long press hilo neno inakuja option ya assist tumia hiyo kufungua Chrome browser, search google account manager apk, download it na install, kisha add google account kwa kutumia hiyo, back to the verification page, ingiza email mpya ulioadd, itafunguka, then remove the oldest one.

You are done.
 
wewe umeeelwa uzii kwelii?? simu ipo kwenye hali hio kwenye picha juu utainstall vp ?? na wale wa simu za kupewa na kuokota umeikuta hivo utatoajeeee ??? usifikiri google wapuuuzi heeee
 
Ongeza kidogo sijakuelewa mkuu ifanye iwe rshis zaidi ya hapo

Sio zote zinakubali hiyo bypass
 
Jamaa yupo sahihi mkuu,hiyo ni moja ya njia rahis..japo hiyo bypass kuna baadh ya simu haikubali
wewe umeeelwa uzii kwelii?? simu ipo kwenye hali hio kwenye picha juu utainstall vp ?? na wale wa simu za kupewa na kuokota umeikuta hivo utatoajeeee ??? usifikiri google wapuuuzi heeee
 
  • Thanks
Reactions: PNC
wewe umeeelwa uzii kwelii?? simu ipo kwenye hali hio kwenye picha juu utainstall vp ?? na wale wa simu za kupewa na kuokota umeikuta hivo utatoajeeee ??? usifikiri google wapuuuzi heeee
Tatizo la shida la jukwaa la tech. Kuna watu wanajifanya wanajua kila kitu kwahiyo hata mtu akitoa kile kidogo anachojua anaonekana hafai na anakoselewa na kuitwa majina ya ajabu ajabu. Na hii imesababisha jukwaa la Tech, kudorora kila siku kwasababu watu wanaogopa. Ukiokota simu, itakuwa kwenye FRP au utaikuta ikiwa na pattern au password? Njia ya huyo jamaa ipo sahihi na inatumika kwenye baadhi ya simu na siyo zote. Huyo jamaa haujamtendea haki
Hakuna njia moja inayoeleweka ya kutoa FRP kwenye simu
 
Nimeelewa uzi vizuri, na unainstall vizuri tu...

First of all unaconnect hiyo simu na WiFi network, utafungua chrome browser na inawezekana, nimefungua simu nyingi kwa njia hii.
 
Tatizo la shida la jukwaa la tech. Kuna watu wanajifanya wanajua kila kitu kwahiyo hata mtu akitoa kile kidogo anachojua anaonekana hafai na anakoselewa na kuitwa majina ya ajabu ajabu. Na hii imesababisha jukwaa la Tech, kudorora kila siku kwasababu watu wanaogopa. Ukiokota simu, itakuwa kwenye FRP au utaikuta ikiwa na pattern au password? Njia ya huyo jamaa ipo sahihi na inatumika kwenye baadhi ya simu na siyo zote. Huyo jamaa haujamtendea haki
Hakuna njia moja inayoeleweka ya kutoa FRP kwenye simu
Afadhali mkuu, tatizo ni yeye hakuelewa...
 
Mm ndo kwanza najua leo kuna software ya kutoa frp eti mm natumiaga quick shortcut maker na google account manager
 
Google account manager, Can do all that.

Type neno lolote, long press hilo neno inakuja option ya assist tumia hiyo kufungua Chrome browser, search google account manager apk, download it na install, kisha add google account kwa kutumia hiyo, back to the verification page, ingiza email mpya ulioadd, itafunguka, then remove the oldest one.

You are done.
Umekalili hujakutana na Simu na Wewe...
 
Hicho ndio nachofahamu boss, za simu nyingine toa na wewe mkuu, uongezee njia nyingine

Mbona hujatoa hata moja
Shida ya wafrika. Ukishachangia, wanaanza kujadili comment yako badala ya wao kutoa njia zingine au kukosoa kwa hoja. Hongera sana. Japokuwa wanakuponda, lakini umeweza kuonesha njia moja kati ya njia nyingi zinazotumika kutoa FRP kwenye simu. Nishaacha siku nyingi sana kuchangia mawazo yanahusu teknolojia kwenye mitandao ya waswahili. Ndiyo maana sijatoa hata njia moja na sitaweza. Huwa nachangia kwenye magroup na forum za wahindi maana hao wanajua. Unabishana kwa hoja kwa lengo la kuelimishana.
 
wale waliolalamika link ya hapo juu haifanyikazi nimeupdate LINK unaweza download
 
Google account manager, Can do all that.

Type neno lolote, long press hilo neno inakuja option ya assist tumia hiyo kufungua Chrome browser, search google account manager apk, download it na install, kisha add google account kwa kutumia hiyo, back to the verification page, ingiza email mpya ulioadd, itafunguka, then remove the oldest one.

You are done.
Sorry mkuu hapo unaposema type neno lolote, unali type wapi hilo neno?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom