Tujuzane kazi za Bomba la mafuta Tanga.

MONTEGO

Member
Sep 8, 2010
33
6
Wandugu anayefahamu taarifa kuhusu taarifa za kazi katika bomba la mafuta litakalo jengwa.
 
subiri mwaka 2020 mwezi june..nishtue nitakuunganisha tu bila wac...
 
si hatakuwa ameisha kufa,ebu muunganishe leo, 2020 Muunganishe Broo Magu maana atakuwa anastaff urais na kurudi kule Kanda ya ziwa kufundisha.
 
Back
Top Bottom