Mafuta hayapimwi kwenye kibaba bali Koroboi!!Kibaba sh. 100
Huku bara wanaita kibaba, nasi wa pwani twaita koroboi=Huku nilipo(bara)kibaba ni tshs:200/= tena ndani wanaweka kikaratasi ili kupunguza ujazo!Mafuta hayapimwi kwenye kibaba bali Koroboi!!
Koroboi huwekwa mafuta ya kula?Mafuta hayapimwi kwenye kibaba bali Koroboi!!
Acha kuisakama serikali tukufu ya CCMJamani,nilikuwa sielewi watu wanaposema mafuta ya kupikia yameadimika,kumbe ni kweli,hapa nilipo,akina mama wanalalamika,mafuta hakuna kabisa,ni taharuki tupu
Acha kuisakama serikali tukufu ya CCMJamani,nilikuwa sielewi watu wanaposema mafuta ya kupikia yameadimika,kumbe ni kweli,hapa nilipo,akina mama wanalalamika,mafuta hakuna kabisa,ni taharuki tupu