Namuunga mkono mdau mmoja pale juu amesema sabuni ya jamaa na maji ya chumvi
Mimi sijafika maisha yako ya kutumia perfume za bei kalii..
Huwa natumia body sprays+splash.
Na huwa nachanganya, sometimes inatokea harufu nzuri mno.
Sprays zangu pendwa mara nyingi ni knowledge, chastity(zote mbili),Dolby,na NYINGINE nyingi nimezisahau majina.
Splashs ndio nyingi zaidi i.e secret of Lady, Sweet,za vanilla.
Nikikosa hizo sprays basi natumia yoyote tu kama Galaxy na adorable.
Kutokana na tatizo langu la kiafya(nina nasal polyps),, specialist wangu alishauri niache kanisa!ama nijikite kwenye nivea dry impact,na ndiyo ninayotumia Sasa.
Kuacha kabisa ni ngumu.
Huwa natumia pia udi na manukato fulani ya kiislamu,huuzwa msikitini..majina yake sijayakariri...
Kwa ushauri wa mambo ya perfumes muone Kiranga .
Huyu mtu,kwa perfumes alizonazo,nadhani anajua aina tofauti tofauti ya harufu za perfumes.
bei yake ipoje
Ila mimi huwa kananikereketa,kananichosha .Adorable huwa kazurii
Kariakoo karibu na soko kuu,ukitokea mtaa wa polisi msimbazi,duka la mwisho kwenye kona kushoto kwako kabla ya kuingia sokoni...Kwa anayejua perfumes za kupimwa zinapouzwa kariakoo,naomba anielekeze.
Asante mkuu kwa maelekezoKariakoo karibu na soko kuu,ukitokea mtaa wa polisi msimbazi,duka la mwisho kwenye kona kushoto kwako kabla ya kuingia sokoni...
Angalia hapo hiyo VANITAS ni https://www.perfume.com/versace/vanitas/women-perfumeMimi natumia AXE but kuna perfume moja nilipewaga zawad na mtu wa ujeruman inaitwa VANITAS, ni balaa, yan had ofisin walijua kama nimespray something new n waliipenda, pia hata ukiifua nguo wakati wa kunyosha kile kiharufu chaja, unfortunately sijawahi kubahatika kuipata madukani hapa dar licha ya kuuitafuta sana na huyo wa ughaibun kasharudi bongo, please kama kuna mtu anaifahamu au anajua inapopatikana please let me know, I am ready to buy at any price less than 150k.
Hapo best ni hiyo CHANEL
Ila mimi huwa kananikereketa,kananichosha .
Nkamu nihadithie kidogo hizo memory za adorablemimi huwa naipenda nna memory nyingi sana nazikumbuka kupitia hiyo spray so huwa siikosi
perfume ya kifara manina..bora fighting temptationBlue for men mzigo naukubali hauna harufu Kali ,harufu yake kuipata labda umsogelee mpakaji ,unapatikana kwa 20k za kibongo
View attachment 1952705
Nkamu nimelipata lile duka la perfume za kupima,naomba unitajie perfumes 3 nzuriNkamu
Nkamu nimelipata lile duka la perfume za kupima,naomba unitajie perfumes 3 nzuri
AsantePoison Girl - Dior
J’adore - Dior
La vie est belle
angalia pia na black opium ila mimi sikuipenda niliona nimepoteza hela yangu.