Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Sie wenye kikopo cha mafuta ya mgando ya buku mafuta ya nwele ya buku tunacomentije jaman!
 
na sisi tunaopaka sabuni na mafuta ya kupikia tunaruhusiwa hata kuchungulia huu uzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
tusubiri mwongozo wa wenyeji mkuu nisije ropoka eti natumia perfume ya SAINT ANNA!! Lol! Chumba kizma kuna kakopo ka mafuta ya mgando na kachupa ka pinki ka mafuta ya nywele hehehe tuwaachie wenyewe bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…