Tujitathmini kutokana na text hii.

Ukiingia youtube zipo picha zikimuonyesha MO amevuliwa shati na kutupwa uvukweni akiwa tumbo wazi.

Zingine zinaonesha wanajeshi wa kimarekani wamemkwida jamaa wanamuweka katika gari.

Jamani hizi njaa mbona zinatufanya kuwa na akili zisizo na uwezo tena??
 
Hahahaha

Wasiojulikana wamechafua hewa
 
Samaki alikua akizama sio........ngoja mvua ianze kunyesha nikamwagilie bustani yangu!πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…