TUJITAFAKARI HAPA

Jodeo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
1,286
Reaction score
1,333
Zamani zile wakati YESU KRISTO, Yesu aliwalisha mara kadhaa watu zaidi ya elfu tano(5,000) bila kuhesabu wanawake na watoto,.

Lakini katika zamani hizi za kina Nabiii,, mtume nk, Kinyume kinatendeka, kwamba watu zaidi ya elfu tano wanamlisha mmoja aliyenona!

Ni mawazo tu yamenijia. Halafu ka-uzi kapo tayari hivyo.

Jumapili njema.

~JODEO~

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…