Wadau,
Wakati mwaka unakatika madereva wa jiji la Dar es Salaam tunapaswa kupongezwa na kujipongeza wenyewe.
Nadhani zaidi ya asilimia 40 (40%) ya gari zote nchini zipo ktk jiji hili, lakini pia ile Annual Average Daily traffic (AADT) ya Dar ni kubwa mno labda mara 5 au Zaidi ya AADT ya nchi nzima combined!
Mbaya Zaidi Dar kuna barabara nyingi ambazo ziko busy (high AADT) ila hazina traffic control, iwe round about, road signs, taa au askari, lakini pamoja na changamoto zote hizo bado ajali nyingi sio za kutisha ukiondoa zile za bodaboda ambapo wengi wao sio madereva tunaowakusudia hapa! (bodaboda wengi wanatumia pikipiki kama baiskeli tu, hawajui principles za uendeshaji).
Askari barabarani wanasifiwa kwa mapato ya fine, lakini sisi hatuwatozi wao fine maana tunalipia njia ila haziboreshwi, matumizi yetu ni ya barabara ngumu mno labda nadhani Africa nzima nasi tunaweza kuwemo katika majiji yenye njia mbovu kwa maana ya uongozaji wa watumiaji.
Njia za makutano tunatumia kichwa tu.
usiku njia hazina taa, unaendesha gizani! Kuna sehemu njia ni nyembamba sana! kuna saa kuna kukimbizana na traffic police lakini with haya yote tumejitahidi kuwa idadi ndogo ya fatal accidents!
Tunapoumalizia mwaka huu, tumshukuru Mungu, Tujipongeze na tuombe Mungu mwakani pia tuendelee kupata neema hii.
ANGALIZO: ULEVI, MATUMIZI YA SIMU UKIWA UNAENDESHA NI HATARI KWA USALAMA WAKO NA WATUMIAJI WENGINE WA BARABARA.