Tujikumbushie hili sekeseke

kila ninapoiangalia hii picha naona kitu kipya

sio mazuri ila nacheka sana
hahahahaha
 
kama tu mchana kweupe wanataka kumtoa roho kijana wa watu je watashindwa nini kurusha mabomu kwenye mikutano yao.

Yule wa kulia kabisa na kitofa chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…