Tujikumbushe waraka wa TEC,CCT na PCPT mwaka 2015

Spectophotometer

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2019
Posts
375
Reaction score
503
TUJIKUMBUSHE WARAKA WA TEC CCT NA PCPT MWAKA 2015
1763905533584.jpg
1763905543295.jpg
1763905555084.jpg
 
WALIOPO DAR ES SALAAM ,CHAKWERA YUPO TANZANIA MPENI TAARIFA ZA KONDO
 
Weka na waraka wowote ule wa ndugu zako bakwata ili kubalance taarifa yako.

By the way, mpaka kesho hakuna mkristo anayepinga kuanzishwa kwa hiyo mahakama yenu ya kadhi. Shida inakuja pale mnapotaka serikali ndiyo ihusike kuwalipa waendeshaji wake, na wakati huo huo Katiba inaitambua nchi kama Secular state! Yaani nchi isiyofungana na dini yoyote ile.
 
Secular state kwenye jambo la watu wengine siyo? Vipi kuhusu Mikataba ya Serikali na Kanisa Katoliki kuwapatia mabilioni kila mwaka?
 
Back
Top Bottom