Tujikumbushe Vinywaji vya Asili Yetu

Maji ya Kunywa,
Juisi ya mchanganyiko wa Embe na Passion (ya kutengeneza mwenyewe)
Maji ya Machungwa
 
mbege tena ndio napata sasa hivi hapa,yaani hadi raha.
 
Classification ya Ulanzi kulingana na alc % concentration;

  1. Nyamtutu
  2. Mkangafu
  3. Mdindifu
  4. Vudongofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…