dah huyu jamaa mishemishe tangu siku nyingi maana hata dar anapiga kama kawaida...we acha tu mkuu yaani siku hazirudi nyuma ati!
Nilikutana naye mwaka juzi, polisi makao makuu kulikuwa na document anafuatilia, yeye anafanya kazi bandarini DAR.
WABEROYA
weberoya wewe tumemaliza wote mkuuDah, umenikumbusha mzee, siku ile nilikuwa zangu uswekeni, kulikuwa na demu wangu mmoja wale wanafunzi wa day, we acha tu, bahati ilikuwa mitaa ya jirani, kuna masela wangu walikuwa wanapiga banana, walichofanya ni kupulizia pafyumu mdomoni, kuondoa harufu! mzee ilikuwa niondoke siku ile!
sikukoma uswekeni.....
waberoya