Umemaliza mwaka gani Mti safi Mkuu????
Lyamungo was the modest school wacha utani kabisa! Hard working, na kwa ulimwengu wa sasa ni kwa vile tu baadhi ya wasimamizi/management hawakuwa makini ile shule ni sawa na Roya Palm Moven Pick kwani ni shule chache sana zina swimming pool and of such an architecture. Kwa aliyesoma pale atakubali baada pia ya kupata exposure ya shule nyingine.
Mnakumbuka ile mechi na lyamungo? ilipopigwa kengele ya menyu tu tukakimbilia menyu mkatupiga bao??
Iliniuma sana ila sikuile ilikwa ni siku ya Chui=Uhali + wanakwaya=Samaki + kabich majani 2 + maji ya moto yenye chumvi na Ugali.
Acha kabisa hiyo menyu ukiwa huna kibakuli cha mchuzi msosi wote unageuka uji
Hatari Ila ilikuwa bonge la menyu by that time.
Big Up Mzee Manase Na Komandoo wapinshi mashuhuri wa Lyamungo.
Mshiiri ndugu yangu mi Lyamungo nimepiga pale aka nne ... Shule ilikua ya ukweli yenye discipline master noma Nyela.Lyamungo na Galanos kama walikopi na kupaste
mkuu wacha kabisa...wewe umesoma enzi ya nyela akiwa mwalimu wa nidhamu?alikuwa akifundisha kiswahili yule...enzi zetu alikuwa shoo....we!
Dah wadau nimesoma gazeti la Majira na kugundua kwamba kumbe mhe.Basil Pesambili Mramba naye ni mdau mwenzetu wa Umbwe,yeye alisoma O-level hapo mwaka 1955-1960
Unakumbuka sereka wewe Blatanda? Lobilo ulimuacha? vipi amenyoa zile ndevu zake?
Vipi wale wasichana wa day uliwaacha almanusra nioe ndugu kuna mmoja alining'ang'ania mpaka mlimani!!!
uMESHAWAHI KUWEKA MAPALACHICHI KWENYE UJI LOL?
wakati wa kiangazi lile vumbi unalikumbuka? da mzee natamani siku niende tu kutembelea,
Twende kulia twende kushoto those was good days I missing the place.
Dah great days.........
Ulimwacha headmaster nani??
waberoya

Waberoya,,,umemaliza mwaka gani mti safi??,,,mimi A level nimemaliza May 2001
Dah wadau nimesoma gazeti la Majira na kugundua kwamba kumbe mhe.Basil Pesambili Mramba naye ni mdau mwenzetu wa Umbwe,yeye alisoma O-level hapo mwaka 1955-1960
Samahani kuchelewa kujibu mkuu, nimemaliza mwaka 1997, nahisi ulikuwa hujaingia bado, -so mimi mzee kidogo.
Huyu jamaa ALEX MSELLE ALITOKEA Old Moshi, alitukuta pale.
Alikuwa mnoko kishenzi, ila nasikia akirudi home mke wake anamtuliza, ''yaani mama anatawala nyumba''
Aisee jamaa sura yake tu akikuangalia adhabu tosha!
May be mpaka leo bado yeye, una taarifa zozote?