Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,154
- 14,114
Sure mkuu, Kali sana. Actors walijitahidi kwa kweli.Terminator two:judgement day ilikua ni nzuri sana..jamaa walijipanga vizuri kwenye ile filamu.
Ndo mwnyweAnodi machuma.
Yule afande alikuwa poa pia kiasi chake.Haha umemtag kabisa... Ila halifikii lile jamaa la 2.
So kati ya afande na mwanamama nani zaidi๐๐๐Yule afande alikuwa poa pia kiasi chake.
T-X alikuwa anatisha wewe.So kati ya afande na mwanamama nani zaidi๐๐๐
Afande sio๐๐T-X alikuwa anatisha wewe.
T-X ndio yule nwanamke.Afande sio๐๐
Duh maoni yako mkuu... Mimi huyo T-X hawezi simama mbele ya afande... Au ngoja tuwasikie na wengineo.T-X ndio yule nwanamke.
Yule afande ni T-1000
๐๐๐ilipita muda hujaicheki ukaamua uipitie tena...ila Kali sana na hiyo mkuuUmenikumbusha utoto wangu,juzi niliangalia Predator na wanangu.