Tujikumbushe Operesheni Tokomeza

simba songea

JF-Expert Member
Feb 8, 2016
1,498
1,214
Nimepitia vyanzo vingi vya habari kutoka katika mitandao mbalimbali ya jamii,blog, magazeti hata uraiani, wengi wao wameiponda hii operesheni ila wachache wametoa maoni yanayo kinzana na wanaoiponda hapa namaanisha wameisifu.

Siku zote unapoipa jeshi lifanye operesheni sehemu fulani basi inamaana kwamba hapo kuna tatizo sugu labada umeshatumia vyombo mbalimbali vya ulinzi imeshindikana.

JWTZ linasifika kwa ufahuru wa operesheni zake mbalimbali walizozifanya tena kwa muda mfupi na mbinu za kisasa. Hapo nataka niseme kwamba unapolipa jeshi lifanye operesheni basi tayari unakuwa umeshajitoa kwa lolote lile litakalotokea, inamaana hapo kuna matokeo hasi watayapata raia kutokana na hii operesheni(vifo,ulemavu,kuharibu miundombinu,umaskini n.k).

Siku zote jeshi halina "excuse" au kubembelezana katika kazi zake za kijeshi. Hii inatokana mafunzo wanayopewa wanapokuwa mafunzoni mara nyingi yanakuwa ya amri moja tu na amri yenyewe inakuwa haina msaidizi inajitegemea yenyewe yaani no ufafanuzi. Utakuta kuruta anaambiwa amwagilie maji angali mvua inanyesha au aoge maji yaliyo kwenye kisoda mwili mzima utakuta unaambiwa endesha gari lisilokuwa na injini na upige honi. Sasa utajiuliza mbona hizi amri kama hazina tija!! hapo lengo ni kumweka sawa au kumuandaa kuruta aje kuwa askari imara anyepokea maamuzi ya wakubwa wake. Sio Askari unaambiwa nenda vitani unaanza kujiuliza hivi nikifa familia yangu itakula nini.Askari yeyote ni mali ya jeshi ndio maana ofisa wa jeshi anafunga ndoa ya jeshi, hata kama askari ukifa basi familia yako itaendelea kupata huduma toka jeshini.

JWTZ walipofanya operesheni tokomeza raia wengi walilalamika kuzalilishwa,kubakwa,kupigwa hata kuchapwa bakora mbele ya watoto zao, wengine walilazimishwa kufanya mapenzi na mti. Jeshi wanapofanya operesheni hiyo kwao inakuwa vita kwa hiyo wanaingia uwanja wa mapambano, ndio mimi kipindi kile niliposikia JWTZ watafanya operesheni TOKOMEZA aisee nikashtuka san hata nikajawa na imani na watu wa huko pengine innocent man but any way.

Jeshini hawaamini kitu kusamehee, kuna broo wangu ni mjeda ananiambiaga yeye somo la msamaha alipata zero. Huwezi kumuambia mtuhumiwa ataje wezi wenzake afu akutajie kirahisi hapo lazima umuamrishe awataje wenzake kwa kutumia mbinu za kijeshi labda utamwamuru avue nguo zote mbele ya mama mkwe au kumpa tifu mbele ya watoto wake. Wanajeshi sio wapelelezi au wanaobembeleza ukweli, japo ukweli kwao sio tija wanachotaka ni amani haijalishi umesema ukweli au uongo.

wanajeshi wanapokuwa katika operesheni hawaamiani hata wao wenyewe ndio maana wanapopigana na adui hawaruhusiwi kurudi nyuma ni kwenda mbele tu hata kama adui yupo karibu, unaporudi nyuma mwanajeshi mwenzako anakuua anajua labda unataka kumsaliti.

Wanajeshi sio watu wa kutuliza vurugu mitaani au kuzuia maandamano, Hawa jamaa kwa ajili ya special force ndio maana hata FFU au polisi wanaposhindwa kutuliza ghasia zozote wanaitawa hawa wanajeshi yaani kwa lugha nyingine wanajeshi ni maamuzi ya mwisho. FFU na polisi wanaposhindwa wanaitwa hawa wanajeshi kuja kusambaratisha kila kitu na sio kusambalatiisha tu ni pamoja na kuhahakisha panakuwa na amani 24 hrs katika eneo husika ikiwa ni pamoja na kuweka hata kamba kwa kipindi fulani. kwa mfano ile ishu ya amboni jeshi lilitumika baada ya polisi au ile ya kuwaondoa wasomali walio mipakani jeshi lilitumika baada ya polisi hata kule Mbeya yale maandano yaliyo watoa umaarufu raia na kulazwa kwenye lami kifua wazi ni jeshi lilitumika baada ya polisi.

Tukija katika operesheni TOKOMEZA ilijumuisha askari wengi mgambo,polisi, askari wanyama pori. Tukija kiidadi jeshi ndio lilitoa wanajeshi wengi kuliko chombo kingine chochote hasa haikuwa na haja ya kuwashirikisha hao polisi, mgambo, askari wanyama pori wakati taarifa zote zinapeleka kwa mkuu wa majeshi. kwanza walikuwa hawaaminiani kutokana na kuwa askari wengine. Utakuta kazi inafanywa na jeshi lakini askari polisi anavujisha siri, ingependeza zaidi kama kazi hiyo lingepewa jashi pekee.

Watu wanalalamika kwamba kwa nini mkuu wa majeshi anakubali kuangamiza raia, hapo suala la msingi ni kwamba yeye kapokea maagizo kutoka kwa mkubwa yaani Amiri jeshi yeye ndio anatoa maamuzi ya mwisho. Huwezi kuniambia kwamba Mkuu wa majeshi haijadiri kauli au haidharau amri ya mkubwa wake..

NI HAYO ILA KAMA UNA MAONI UNAKARIBISHWA;
 
Waliwaonea tu wangeanza na waliouza loliondo, mbona wanawaacha kuua raia
 
Hali ya hewa kwenye Kiwanja hiki sio nzuri kwa hiyo Ndege inaenda kutua kwenye Kiwanja kingine
 
Back
Top Bottom