Tujikumbushe Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 yalivyokuwa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472
Matokeo Ya Uchaguzi Wa Rais, 2020:

Dkt. Magufuli John Pombe Joseph - Ccm … 12,516,252
Mahona Leopold Lucas - Nra ……………… 80,787
Shibuda John Paul - Ada-tadea ………… 33,086
Muttamwega Bhatt Mgaywa - Sau ……… 14,922
Cecilia Augustino Mmanga - Demokrasia Makini .............................................................................. 14,556
Maganja Yeremia Kulwa - Nccr-mageuzi … 19,969
Lipumba Ibrahim Haruna - Cuf ……………… 72,885
Philipo John Fumbo - Dp ………………………... 8,283
Membe Bernard Kamillius - Act-wazalendo … 81,129
Queen Cuthbert Sendiga - Adc ………………. 7,627
Twalib Ibrahim Kadege - Updp …………….. 6,194
Rungwe Hashim Spunda - Chaumm…….... 32,878
Seif Maalim Seif - Aafp……………..……….. 4,635
Mazrui Khalfani Mohamed - Umd ……… 3,721
Lissu Tundu Antiphas Mughwai - Chadema.....................................................................................1,933,271

Wilson Mahera Charles
Mkurugenzi Wa Uchaguzi
Dodoma
4 Januari, 2021
 

Attachments

Yalimfanya jiwe apumzishwe kwa manufaa ya uma
 
Yako wapi maana Tume ya Uchaguzi mpaka leo hawajawahi kuyatangaza jimbo kwa jimbo kama sheria inavyotaka..?

Haya yalikuwa ni matokea ya takwimu za kubumba tu na iliyokuwa Tume ya Uchaguzi ya Magufuli na kwa uongo wake huu hakuchukua raundi mauti ikamtwaa mercilessly....

Za ndani kabisa pamoja na fujo zao zote, Tundu Lissu wa CHADEMA alimburuza mgombea wa CCM kwenye kura za u - Rais kwa mbali mno. Magufuli kwa kura halisi hakufikisha 30% ya kura zote. Tundu Lissu wa CHADEMA alipata kura zaidi ya 70%....!!!

Na kama NEC watabisha, tuwaambie walete proof kuonesha kila mgombea wa u - Rais alipata kura ngapi jimbo kwa jimbo sawasawa na sheria isemavyo...

Mpaka leo hakuna matokeo hayo. Yapo ya kura za ubunge tu jimbo kwa jimbo na yenye yana discrepaancies ya kura zaidi ya 2,300,000 hazijulikani zilitoka wapi...!!!
 
Huu haukuwa uchaguzi ni aina ya upumbavu uliopewa jina la uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…