Heee[emoji15]Mtu akiwa mgeni jf anaweza dhani kinachoongelewa ni maisha ya chuo kweli
Ndio ndiomimi nilikuwa kitombi tu . usiku nawasha gari nipo mtaani. na pita na miss Universities sana, na models list ndefu. ila jua kama ni miss hadi 2020 either 1, 2, 3 run up wa ifm, udom, sokoine, ananijua [emoji23][emoji23][emoji23]. sema safety 1st na sio muhuni hivyo. it's just love models
Dah noma sanaMi mkongwe sana humu jf ila ndo hvyo,mambo ya ID tena ..okay iko hiv
Mi nilisoma hapo udsm..miaka hyo ya 2009-13
Aisee..ni moja ya vijana tuliopata matokeo mazur 6,sio TO lakin.
Ila ni kijana niliotoka na GPA ndogo kinoma ila sio kesi...
Siko bongo mwaka wa 4+ huu..niko ughaibun...
Kwa hitler kakaDah noma sana
upo Pande zipi sasa, Malkia, Nordic, Hilter au Red India.
Hapo kwenye Box umenikumbusha mbali...
Nimejiwekea kila mwez nanunua ki plot..vi plot vya 1m vipo kibao huko.kila naona youtube wasaf na clouds wanatangaza..na dalal mwanamkeBeba sana box lakini usisahau bongo maeneo yapo mengi yanakutaka wewe uje kuyaendeleza huku
Kabisa mkuuEndelea kupambana mkuu
Life la chuo mnalikuza Ila ni lawakawida
Kuhusu Kuchart na X wako hiyo kawaida Sana mwanamke ukifanya naye ngono ukaingiza sperm zile sperm zinatengeneza bond ya miaka 10 plus
Hivyo mwanamke kumsahau X wake is impossible.
All the Best
Hila umezingua kusema mahall marefu udsm ni 4 &5! Hall refu ni 2&5. Naanza kuona mashakaka na uzi wakoMi mkongwe sana humu jf ila ndo hvyo,mambo ya ID tena okay iko hiv
Mi nilisoma hapo udsm, miaka hyo ya 2009-13
Aisee ni moja ya vijana tuliopata matokeo mazur 6,sio TO lakin.
Ila ni kijana niliotoka na GPA ndogo kinoma ila sio kesi...
Siko bongo mwaka wa 4+ huu..niko ughaibun..
Ni hiv..mim ni moja ya walioenda chuo kukua na sio kusoma..ingawa ni genius najijua ila nilichoka u john kisomo..toka primary mi ni GradeA student.
Enewei
Nmekula bata sana chuo wadau..saaana.
Niliishi main campus first year, moja ya yale ma hall maref (4 /5) stak sema lip wadau watacrack bure.
Then nkaenda bibo, then nkakaa uswaz from 3rd yr to 4th yr..pika pakua na demu wangu aisee.
Hakuna kijiwe cha kitimoto tusichokijua, halaf ilikua couple maaruf chuo pale kuanzia chocho za survey. Changanyiken, bibo, mwenge, sinza meeda kule, ambienga, kuku wa ambiance ile ya enz zile si mchezo.
Kiufup yule dem nilikua kama nimeoa (ni X sasa kaolewa ila ukiona chat zetu had leo unaweza pata heart attack kama ni mumewake) anyway Ma X huwa hiv sometime.(Off point)
Club sasa
1. Savanah, moja iko posta nyingne iko quality centre.
2. Maisha club
3. Bills
4. Sansiro kamanyola pale sinza si mchezo.
5. Suncity, nadhan kigambon ile,.wet n wild, kiota, koko, beach mavi za mikochen zile na msasani,kawe beach mamamamaaaa hapa ndo hatar..enzi hzo sio kidimbwi hii mnaenda skuhiz, silversands
6. Mbalamwezi
7. Katalunya
8. Etc etc etc
Nyie yale maisha si mchezo.
Sjawai kosa sup miaka yote mi4
Cant complain, maisha ndo haya haya ndugu zangu.
Sasa hiv nabeba box huku maisha yanasonga.
Kuna ile akili inakufanya unaona kama mabro kitaaa wanazingua hawapo aggressive kusaka pesa dadeq maliza sasa unajikuta unakua mpole tuLife after chuo ni nyoko