Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,191
- 14,351
Hii ilikuwa kali,, watu wanabaki macho kodo!! Huku mh. Rais wa Darisalama akishusha mapande!! Ila u-Bashite umemshusha hadhi sana huyu jamaa ni kwa vile ni taahira tu ndo maana ataendelea kutukana watu! Ila ajichunge sana watu wasije wakamjibu mbovu siku ya siku!!