mgusi mukulu JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 715 Reaction score 682 Nov 19, 2017 #1 Nimeangalia hii video nimepata hasira za ghafla. Attachments 5ae02413cb38eea33c5ba47d0a27b4e5.mp4 5ae02413cb38eea33c5ba47d0a27b4e5.mp4 3.8 MB · Views: 74
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,111 Reaction score 75,566 Nov 19, 2017 #2 CCM oyeeeeeeee!!!¡!
Kanye2016 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 3,019 Reaction score 3,205 Nov 19, 2017 #3 Halafu mtu mbele ya hadhara kabisa anataka wananchi wamuombee kwa mungu asivyokuwa na aibu.
N niah R I P Joined Sep 26, 2015 Posts 7,018 Reaction score 9,306 Nov 19, 2017 #4 Only in Tanzania force. Mungu alivyomkuu wanaweza kuzaa watoto kama hao wanaowapiga. Laana iwe kwao hao waliowatuma.
Only in Tanzania force. Mungu alivyomkuu wanaweza kuzaa watoto kama hao wanaowapiga. Laana iwe kwao hao waliowatuma.
gollocko JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 2,945 Reaction score 2,283 Nov 19, 2017 #5 Ila watanzania sie, ni wapole mpaka tumekuwa kama mazezeta, hakyamungu ingekuwa nchi za wenzetu hao askari wangekuwa jera tena walemavu
Ila watanzania sie, ni wapole mpaka tumekuwa kama mazezeta, hakyamungu ingekuwa nchi za wenzetu hao askari wangekuwa jera tena walemavu