Salamu sana wakuu,
Kama kichwa kinavyojipambanua suala la mitongozo kwa hivi sasa halina challenges sana kama wale wazee wa zamani,maendeleo ya sayansi na teknolojia yamerahisisha sana.
Je ni vitu (maneno} gani hautavisahau siku ya kwanza ulipomu approach binti au wewe mwanamke alipoku approach mwanaume? Mi binafsi kumtakia neno "nakupenda" ulikuwa mtihani mithili ya mtihani wa necta uliochapishiwa 'tata print uk'.