Tujikumbeshi Kitabu Hiki: Barza ya Majestic...''

Tujikumbeshi Kitabu Hiki: Barza ya Majestic...''

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
22,454
Reaction score
32,980
TUJIKUMBUSHE KITABU HIKI BAADA YA MWAKA MMOJA KUPITA "BARAZA YA MAJESTIC..."

Niliombwa kufanya pitio la kitabu hiki Zanzibar ndani ya ukumbi si mbali na Majestic.

Hili halikufanyika kwa sababu waandaaji waliambiwa panahitajika kibali.

Kabla ya kitabu hiki nilikuwa nimealikwa mara mbili kufanya pitio la kitabu mara ya kwanza kitabu cha Hashil Seif Hashil na kisha kitabu cha Khamis Abdullah Ameir.

Picha ya vitabu angalia hapo chini.
Vitabu hivi hapakuhitajika kibali chochote na nilifanya mapitio.

Lakini dunia ya leo ni nyingine.

Wasomaji vitabu walishauri tufanye pitio mitandaoni tusipoteze wakati kusubiri kibali.

Tujikumbushe kitabu hiki baada ya mwaka mmoja kupita.


View: https://youtu.be/oeaXzJY47bc

1756390739812.jpeg

1756390767591.jpeg
 

Attachments

  • 1756390619924.jpeg
    1756390619924.jpeg
    60.2 KB · Views: 21
Back
Top Bottom