Ahsante mkuu ...Symptoms usually begin abruptly. Symptoms include
>fever
>headache,
>joint and muscle aches,
>weakness
>diarrhea,
>vomiting,
>stomach pain,
>lack of appetite
>abnormal bleeding.
Ahsante mkuu ...
Je watu wa uhamiaji wamepewa elimuu hii....au wanafanya kazi kama misukulle ya congo
Sasa wewe unafanya nini Tanzania kwa nini usiamie congo mada inausu tz congo imetoka wapi hapo tumia akili acha kufikiri kwa makalio.
Kwetu wapi ....au nawe ni wale ambao hamtaki kujifunza kutokana na makosa???
Mkuu usijianini ki hivyo maana huwezi jua mkuu
Ndugu zangu naungana na watanzania wenzangu kuwapa taarifa ya tahadhari juu ya gonjwa hili kwani hatari na linasambaa kwa kasi ya ajabu.barani africa...dalili zake wakuu tu titirike ili tuanze kuchukua tahadhari naona wakuu wa nchi wamejisahau sana
Tatizo viongozi wetu siasa nyingi sana ..tukiangalia kwa haraka haraka mipaka yetu sidhani kama imewekewa tahadhari yoyoteNafikiri serikali inapaswa kuwa makini haswa maana hakuna maandalizi yoyote yanayofanywa,mimi ni muuguzi na naona jinsi huu ugonjwa ukiingia utakavyotumaliza! Sana sana watu wa afya maana zaidi ya kusoma kwenye mitandao na kuona wenzetu wanavyovaa kujikinga huku sijaona hizo protective gear! Nafanya kazi moja ya refferal hospital tunaogopa kwa kweli!
Tatizo watu kama ninyi tungewapeleka congo kipindi cha ebola maana kwa kusikia tu bado hamuamini ...ebola ni gonjwa hatari sana.....tatizo bongo misukule mingii