Moja ya story ya kijinga kabisaa kuletwa hapa jukwaani. Hivi mwandishi anapafahamu kweli mlimani city!? ATM kutoa milioni 2 ndani ya Saa 24!?? Kukumbuka password ukiwa umezimia!?? Umezimia halafu mtu aliyejifunika usoni anakubeba hadi kwenye ATM unatoa pesa halafu anakubeba tena kwenda kukutupa!?? Yaani mwanangu mwenyewe wa darasa la pili hawezi kuamini hii story.