Wabongo noma. Hii habari nimepata kwenye Group la chama chetu.... Vema kuchukua tahadhari na kujifanya "Ujuaji mwingi '" Huyu muungwana ka Share ili watu wengine wawe makini lakini mnaanza kuhoji mara hii habari ya kutunga...
Sasa kama tumepewa ubongo wa kutafakari tufanyeje? Tusihoji? Amekumbukaje namba ya siri kwenye ATM ya kwanza kama alikuwa hajitambui? Halafu hicho kitambaa utakiepuka vipi, maana ni instantaneous effect it seems.
Hii habari ishawahi kupostiwa humu JF miaka mingi sana iliyopita. Nadhan hata kama ilitokeaga kipindi hiko, huu utapeli haupo tena. Pole mkuu hii ni zilipendwa
Daaah!! Kama ni hiyo stori tumepigwa kabisa maana mtu kamwita jna lake, hilo jina kalijuaje kwanza wakt hamfahamu? Atm million 2 inatokaje kwa mfano, jaman
Daaah!! Kama ni hiyo stori tumepigwa kabisa maana mtu kamwita jna lake, hilo jina kalijuaje kwanza wakt hamfahamu? Atm million 2 inatokaje kwa mfano, jaman