Babu washakupiga nini...mbona hi style ya zamani sana
Habari za majukumu jamani kuna wizi wa kwenye mtandaoni tuwe makini tusije kumbwa na kudondokea kwenye huo mkenge uko hivi
Inatokea unakuwa na urafiki na mtu wa kawaida mnakuwa mnachati naongelea international friends baada ya kuchati naye sana anakueleza shida zake kuwa yeye anaishi uhamishoni mfano Senegal kuwa huko alipelekwa na Umoja wa Mataifa kitengo cha Wakimbizi kuwa wamehifadhli kutokana na vita iliyo tokea huko kwao mfano Liberia kipindi cha Charles Tayor wakati wa vita kali, au SUDANI, DRC
Kutokana na hiyo vita yeye ni muanga mkubwa coz baba na familia nzima walilipuliwa nayeye akawa ndo mtu pekee aliye salimika ndo akafanikiwa kwenda huko uhamishoni.
Baada ya hapo anakwambia baba yake au mama yake alikuwa Director katika kampuni Fulani mfano kampuni za mafuta sudani na anakwambia huyo mzazi wake aliweka hela Fulani kwenye bank moja kwa jina la lake NEXT OF KIN kwa kuwa yeye hayupo huko na sehemu alipo hawezi kutransfer that kind of money kwa kuwa yeye ni mkimbizi na sheria za Wakimbiza zinawabana kufanya.
Sasa anakwambia kuna pastor yuko pale ndo huwa anawasaidia kupata huduma za internet na mambo mengine Baada ya hapo anakuomba uweze kumsaidia aweze kutransfer that kind of money coz amejitahidi kutransfer kwenda inchi aliko imeshindikana na ameshauliwa anatafute mtu kutoka nchi nyingine aweze kutransfer huko na akakuomba uwe mdhamini wa hiyo kazi
Na anakueleza kwa jinsi anavyo pata tabu huko uhamishoni na anatamani kuendelea na shule cozi aliacha shule na sasa haendelei tena . Na anakutumia Death certificate ya wazazi, bank ambako hizo hela zipo na Mkurugenzi wa bank ambako hela hizo za wazazi wake zimehifadhiwa ziko na mtu anaewasiliana naye kuhusu hiyo transaction. Anafanya kila juhudi anakuunganisha na huyo mkurugenzi .
SASA HAPO NDO WIZI UNAANZA WATATAKA PERSONAL DETAILS NA BANK DETAILS PAMOJA SWIFT CODE FOR INTERNATIONAL TRANSACTION UKIDHUBUTU KUWAPA TU NDO UMEUMIA. Wanao ongoza kwa huo wizi ni watu kutoka Nigeria na wako smart sana katika kazi zao full details katika kukushawishi kama hujui kuhusu international transaction lazima uingie mkenge. For more details nitafute ndo hayo to gud luck
ukiwa na tamaa (NGONO/PESA) halafu limbukeni, lazima uliwe. Hakuna senti 1 ya bure duniani.
Hakuna haja ya kujìhadhari na 'huu wizi' ISHI KWA KANUNI.
Nimeipenda hii! Watanzania ni watu wa kupenda vya bwererebwerere tu hata ukiwaambia kuna bomu limeonekana sehemu badala ya kukimbia wao wanakimbilia!ukiwa na tamaa (NGONO/PESA) halafu limbukeni, lazima uliwe. Hakuna senti 1 ya bure duniani.
Hakuna haja ya kujìhadhari na 'huu wizi' sababu kuna style kibao tu. ISHI KWA KANUNI. USIISHI KWA MATUKIO.
Yupo mhanga mmoja pale SUA, Morogoro- simtaji jina-pamoja na usomi wake aliingizwa mkenge hivyo hivyo- 2009. Millioni 23 ziliyeyuka hivi hivi. Ogopa matapeli.Habari za majukumu jamani kuna wizi wa kwenye mtandaoni tuwe makini tusije kumbwa na kudondokea kwenye huo mkenge uko hivi
Inatokea unakuwa na urafiki na mtu wa kawaida mnakuwa mnachati naongelea international friends baada ya kuchati naye sana anakueleza shida zake kuwa yeye anaishi uhamishoni mfano Senegal kuwa huko alipelekwa na Umoja wa Mataifa kitengo cha Wakimbizi kuwa wamehifadhli kutokana na vita iliyo tokea huko kwao mfano Liberia kipindi cha Charles Tayor wakati wa vita kali, au SUDANI, DRC
Kutokana na hiyo vita yeye ni muanga mkubwa coz baba na familia nzima walilipuliwa nayeye akawa ndo mtu pekee aliye salimika ndo akafanikiwa kwenda huko uhamishoni.
Baada ya hapo anakwambia baba yake au mama yake alikuwa Director katika kampuni Fulani mfano kampuni za mafuta sudani na anakwambia huyo mzazi wake aliweka hela Fulani kwenye bank moja kwa jina la lake NEXT OF KIN kwa kuwa yeye hayupo huko na sehemu alipo hawezi kutransfer that kind of money kwa kuwa yeye ni mkimbizi na sheria za Wakimbiza zinawabana kufanya.
Sasa anakwambia kuna pastor yuko pale ndo huwa anawasaidia kupata huduma za internet na mambo mengine Baada ya hapo anakuomba uweze kumsaidia aweze kutransfer that kind of money coz amejitahidi kutransfer kwenda inchi aliko imeshindikana na ameshauliwa anatafute mtu kutoka nchi nyingine aweze kutransfer huko na akakuomba uwe mdhamini wa hiyo kazi
Na anakueleza kwa jinsi anavyo pata tabu huko uhamishoni na anatamani kuendelea na shule cozi aliacha shule na sasa haendelei tena . Na anakutumia Death certificate ya wazazi, bank ambako hizo hela zipo na Mkurugenzi wa bank ambako hela hizo za wazazi wake zimehifadhiwa ziko na mtu anaewasiliana naye kuhusu hiyo transaction. Anafanya kila juhudi anakuunganisha na huyo mkurugenzi .
SASA HAPO NDO WIZI UNAANZA WATATAKA PERSONAL DETAILS NA BANK DETAILS PAMOJA SWIFT CODE FOR INTERNATIONAL TRANSACTION UKIDHUBUTU KUWAPA TU NDO UMEUMIA. Wanao ongoza kwa huo wizi ni watu kutoka Nigeria na wako smart sana katika kazi zao full details katika kukushawishi kama hujui kuhusu international transaction lazima uingie mkenge. For more details nitafute ndo hayo to gud luck
kichwat well wel welsaid mkuu .hakuna hata sent mmoja 1 ya bure duniani hii inaukweli asilimia 1000%ukiwa na tamaa (NGONO/PESA) halafu limbukeni, lazima uliwe. Hakuna senti 1 ya bure duniani.