Tujifunze video shooting & editing

Mkuu nina hamu sana na after effects, ninayo CS5 kwenye MacBook Pro lakini sijui kuitumia natamani nipate mtu anipe basics, tushirikiane jamani tuibuke kidedea kweny nga hizi. PM inafuata soon.
tutaftane mkuu.
 
Watu wengi katika hii tasnia ya Video editing ukweli hawafanyi EDITING bali wanachofanya ni kuweka effects na transitions na kidogo wanaweka na Titles lakini waeleze wafanye mfano substitute au Audio and video Mixing uone mziki.

Ushauri.
Ukiwa na uwezo wa kufanya video Mixing ,kuingiza Voice au Sauti kwa kutumia program yoyote basi jihesabu kuwa upo katika kiwango cha wewe kuitwa Mhariri wa video.Vinginevyo ni kujidanganya tu.

Mfano
Sisi tunatengeneza News,vipindi,documentaries kwa ajili ya TV tunatumia programs ambazo ni simple tu kwani sana sana hatu-dil na effects bali Mixing.Hivyo ili uwe mzuri katika hii kitu ni bora ujue unaitaji program Fulani kwa ajili kutoa Output ya nini.
 
unataka software gani??
 
ime2lia hyo advice yako kaka
 
Je video nitakayo rekodi kutoka katika VHS kupitia TV CARD Kwenda kwenye Computer haiwezi kupoteza ubora?
 
Je video nitakayo rekodi kutoka katika VHS kupitia TV CARD Kwenda kwenye Computer haiwezi kupoteza ubora?

kiukweli ubora utapungua kwa kiasi kidogo,pia inategemea na format ambayo utarekodia.Kuna avi,dvd,mpeg-1,mpeg-2 nk so nakushauri hamisha picha yako ktk format ya AVI. Hii inakuwa bora zaidi kuliko zote.Japo kwa kiasi kidogo sana haiwezi kufanana na origin
 
Are u serious about what u wrote?

Yaani umedownload lakini kuinstall zinahitaji GB1. So kwenye HDD yako huna free space ya 1 GB?

Kwa wale wanaojua kutumia Action Essentials II tafadhali, namna ya kuziapply zisije na ile watermark
 
Pia mwenye Guru Effects (Red Giant 2011) anambie namna ya kuzipata
 
Me nahitaji adobe cs3 au cs5 ambaye anazo unaweza nicheki kwa namba 0714890018, au akinipatia contacts zake sio mbaya pia, nipo dar
umepata.Mi nina adobe master collection,but npo field songea j5 ntarudi dar.2tatafutana mkuu.Unaweza kui2mia?? Ili unipe somo coz mi ninayo but ninajua kidogo xana adobe
Ametoa namba ya tigo, wewe unasema akirudi Dar mtatafutana. Umejuaje kama yupo Dar, kwani tigo ni ya Dar pekee? Pengine yupo huko huko Songea!

kaka me pia natumia vegas tatizo ni video clip za digital camera ndogo hazi kubari lakini pia nikiziconvet mala zinapoteza sauti, mara zinacheza kama audio du! zimenishinda so nifanye nini ju ya hili?
 
Ametoa namba ya tigo, wewe unasema akirudi Dar mtatafutana. Umejuaje kama yupo Dar, kwani tigo ni ya Dar pekee? Pengine yupo huko huko Songea!

kakae hata me ningependa nikutafute ukiludi... Field inakwisha mwezi upi kaka?
 
kaka me pia natumia vegas tatizo ni video clip za digital camera ndogo hazi kubari lakini pia nikiziconvet mala zinapoteza sauti, mara zinacheza kama audio du! zimenishinda so nifanye nini ju ya hili?

pia nahitaji hiyo adobe uliyonayo kaka vp dar unaludi lini bro...my no 0765105978
 
Ametoa namba ya tigo, wewe unasema akirudi Dar mtatafutana. Umejuaje kama yupo Dar, kwani tigo ni ya Dar pekee? Pengine yupo huko huko Songea!

ashasema na yeye yupo dar ndugu.Soma post had mwisho teh teh,then nitake radhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…