Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
Ni kweli mzee! Mie ni mtaalamu sana wa Final Cut Pro X.
Mie nafahamu sana Adobe premiere pro version zote. Najifunza Adobe AE na Illustrator bado lakini ni thafi sana.
nitafute mkuu,hiyo ki2 rahisi sana.Kuna option moja (sijui ni plugin) inamfanya m2 anakuwa black n white or sepia in colour na vi2 vingne kama v.L nguo zinabaki na origin colour.Hii inakuwaje???
nitafute mkuu,hiyo ki2 rahisi sana.
Teh teh teh tehKuna option moja (sijui ni plugin) inamfanya m2 anakuwa black n white or sepia in colour na vi2 vingne kama v.L nguo zinabaki na origin colour.Hii inakuwaje???
nitafute mkuu,hiyo ki2 rahisi sana.
Mimi nilijua vitu vyote vinamwagwa hapa jamvini?...au hiyo ni kwa faida ya muulizaji na muulizwaji tu?
dats gud mkuu!
wakuu mimi nina kampuni yangu ya entertainments, nimeifungua kama miezi miwili sasa, inajishughulisha na kukodisha professional sound and PA systems kwenye sherehe za aina zote. sasa nataka kupanua business nataka nijiushishe pia kwenye mambo ya video shooting and editing, naombeni mnielekeze wapi nitapaka short courses za mambo hayo.by professional mimi ni accountant so i want to make it as a part time generation.
Me nahitaji adobe cs3 au cs5 ambaye anazo unaweza nicheki kwa namba 0714890018, au akinipatia contacts zake sio mbaya pia, nipo dar
umepata.Mi nina adobe master collection,but npo field songea j5 ntarudi dar.2tatafutana mkuu.Unaweza kui2mia?? Ili unipe somo coz mi ninayo but ninajua kidogo xana adobe
mccte kuni PM kwa maswali yoyote yahusiyo adobe premiere pro na adobe after effect cs3/cs4/cs5.
kibiashara zaidi.Mimi nilijua vitu vyote vinamwagwa hapa jamvini?...au hiyo ni kwa faida ya muulizaji na muulizwaji tu?