Tujifunze Namna ya Kutuma SMS kama za Vodacom, Halotel, Tigo, Airtel na NMB/CRDB

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
wakuu wale wajuzi mtusaidie namna ya kutuma sms kama za mitandao tajwa hapo Juu, mf unamtumia mtu text labda ina someka

Hongera
Umefanikiwa Kupata Nafasi ya kusoma Nje ya Nchi
 
Mkuu kuna huduma ya bulk meseji kama airtel wana plan unaenda wajisajili mfano ukitaka msg ikenda iandike mohamed islete namba.
 
Gharama zake wanatoza kwa mfumo upi mkuu?
Wakati wa kujisajili pekee au hata kwa kila ujumbe?
 
wakuu wale wajuzi mtusaidie namna ya kutuma sms kama za mitandao tajwa hapo Juu, mf unamtumia mtu text labda ina someka

Hongera
Umefanikiwa Kupata Nafasi ya kusoma Nje ya Nchi
Sijakuelewa mkuu unachotaka wewe nini au wewe ni nani kwani
 
Back
Top Bottom