Zipo engine tofauti tofauti kama Souce engineMi sio mtaalam wa game development ila nataka kujua, kuna tofauti gani kati ya unreal game engine na unity??
tuunde team ya watu wenye nia hata watu wa 3 tutengeneze kwa kuanza hata game dogo badae tutafikia kama wao walipo kwani wao walianzaje?
Unreal Ni Kiboko! Ina balaa Kubwa sana, Ikitumiwa kimakini Inafanya Kitu kinaonekana Real Kabisa!Zipo engine tofauti tofauti kama Souce engine
Frosbite engine
Cryengine engine
Unreal engine
Unity3d engine zote hizi zinatumika kutengenezea.
Mmefikia wpi Wazee Kujifunza Hizi mambo nami nataka NijiungeKwani ww unatumia engine gani mkuu