Tujifunze Kukataliwa!

tataizo hawa viumbe hawakukatai mwanzoni. wanakula hela zako ndio shida ilipo
Kaka kosa ni pale tunapotanguliza pesa kama ndio njia ya kumnasa mrembo,hawezi kataa hela mkuu....badilisha mbinu za kivita,kwakufanya hivyo utajua mbivu na mbichi
 
Sahii kabisa,
Ukiona upepo sio wenyewe,
Unajikataa zako mapema Sana.
 
Sahihi, unakuta anakukataa ila anakuombea usiende kumtongza mwingn ili uendelee kumlazimisha yeye tu hali ya kuwa hana mpango wa kukukubali

Kwahy tunaishi humo akizingua unamkaushia tu jumla kiroho safi
 
Any relationship ni future assets ni hazina ya baadae japo inauma lakini utakiwi kufanya action yeyeto ukizidiwa na maumivu inashauriwa hama eneo au mkoa ukareflesh. Wapo watu wengi sana wamepewa connection za maisha na ma ex wao. Yupo boss mmoja ni mkuu wa idara nyeti alikuwa ni kiportable cha jamaa aliyekuwa swahiba wa jiwe jamaa akampigia pande kwa jiwe leo ni mkurugenzi sababu ya kuishi vyema. Ex hawezi kukutupa au kukunyima connection usitazame leo, maumivu ya jana ndio furaha ya kesho. So nawashauri msifanyiane ubaya akikuacha mtu.
 
Kaka kosa ni pale tunapotanguliza pesa kama ndio njia ya kumnasa mrembo,hawezi kataa hela mkuu....badilisha mbinu za kivita,kwakufanya hivyo utajua mbivu na mbichi
Kaka usipotanguliza pesa vita inakuwa ya muda mrefu sana na uwezekano wa kupata mbususu ni close to zero.

Prolonged warfare hainaga faida.
 
Its never sweet to be rejected by the ones you love, but sometimes for your own value,you have to let them go, your not for every one. You can only attract of your kind.
 
Hata asiponitafuta mi nnachojua tupo wote sideti peke angu
 
Mtoa uzi umenilenga, au umetumwa?
Kukataliwa kunauma sana.. maumivu yake ni makali mno.. nasoma comments roho ikiwa inaniuma sana... ila nyie wanaume Mungu anawaona πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜“πŸ˜“πŸ˜“
 
Safi sana
 
tataizo hawa viumbe hawakukatai mwanzoni. wanakula hela zako ndio shida ilipo
Unaruhusuje kutoa pesa kabla hujajua msimamo wake kwako?! Otherwise unazungumzia mtu ambae tayari mko kwenye mahusiano halafu badae akuteme mimi hapo ndo naona ni tatizo hasa kwa mwanaume maana utakua ushainvest kwake vitu vingi sana. Lakini kama ndo unamtongoza for first time sioni kama itakuumiza sana coz huwezi kua umeinvest vitu vingi kiasi hicho
 
Sijawahi kujidharau wala kujichukulia poa hata kidogo, principle yangu siku zote hua ni kama sio bora kwako basi nitakua bora zaidi kwa mwingine.....
 
Mtoa uzi umenilenga, au umetumwa?
Kukataliwa kunauma sana.. maumivu yake ni makali mno.. nasoma comments roho ikiwa inaniuma sana... ila nyie wanaume Mungu anawaona πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜“πŸ˜“πŸ˜“
Pole sana utazoea tu ,kasheshe kama mna onana yaani mpo karibu hapo Mama pretty rangi zote utaziona vizuri.Pole kwa mara nyingine tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…